Balozi wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na ujumbe kutoka Finland kuhusu fursa mbalimbali zilizo kwenye Sekta ya miundombinu ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi Dr. Leonard Chamuriho
Waziri wa Biashara za Nje na Maendeleo kutoka Finland, Kai Mykkanen (kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (katikati), wakati ujumbe huo ulipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Ujumbe kutoka Finland
ukimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa
wakati ulipomtembelea ofisini kwake kujadili fursa mbalimbali za Sekta ya
Miundombinu.
Imetolewa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano
No comments:
Post a Comment