Sunday, August 8, 2010

SHEREHE ZA SIMBA DAY ZAFANA

Naibu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Ali Juma Shamhuna akiwa na zawadi ya jezi aliyopewa na mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rageh wakati wa Simba Day uwanja wa Uhuru leo
Uzinduzi wa uzi mpya wa Simba kwa msimu mpya ujao
Naibu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Ali Juma Shamhuna akimpatia tuzo meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager George Kavishe kwa kampuni yake ya TBL inayodhamini Simba na Yanga
Wachezaji wa Simba na Express ya Uganda wakiingia
uwanjani kumenyana. Matokeo yalikuwa 0-0Wanenguaji wa Twanga wakipepeta
Twanga Pepeta wakiwajibika siku ya Simba Day
Kiduku na Twanga pepeta...
Twanga wakijimwayamwaya uwanjani
Mshambuliaji wa Sayari (shoto) akijaribu kumpita mchezaji wa Simba Queens Timu ya wanawake ya Sayari
Simba Queens
Simba Queens wakipiga jalamba
Juu na chini ni mchezo kati ya Simba SC na Express ya Uganda. Matokeo ni bao 0-0


SHEREHE ZA SIMBA DAY UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Naibu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Juma Ali Shamhuna (kati) akiwa na viongozi wa Simba wakisimama kuwakumbuka waliotangulia mbele ya haki wakati wa maadhimisho ya Simba Day leo uwanja wa Uhuru, Dar

Friends of Simba wakimpongeza Abdallah King Kibaden Mputa kwa tuzo ya utumishi uliotukuka katika kilabu hiyo ya mtaa wa Msimbazi
Wachezaji na makocha wa Simba shereheni
Kocha msaidizi Selemani Matola akipasha moto vijana wake
Kocha wa makipa kazini
Twanga walikuwepo kupepeta
Shafii Dauda akiwa na vuvuzela
Meneja wa Simba Innocent Njovu (kati) akiwa na
makocha wasaidizi Selemani Matola (shoto) na Amri Saidi
Meneja wa Kilimanjaro Lager George Kavishe akimpongeza Musley Ruwey kwa kupokea tuzo kwa niaba ya baba yake Mzee Saleh Ruwey, mmoja wa wafadhili wakubwa wa Simba
MC Ephraim Kibonde akiwa na afisa habari wa Simba Clifford Ndimbo


MASHABIKI WA SIMBA WALIOHUDHURIA SIMBA DAY LEO

Green stand ilifurika

Mzee Magoma Mtoto na kina Muchacho

Friends of Simba
Zamoyoni Mogella na Abdalla 'King' Kibaden Mputa walikuwepo
Mdau wa Simba wa Morogoro Shaaban Nyaa ndani ya nyumba

Simba wakiwa upande wa Yanga wa jukwaa kuu
Mashabiki wa Simba wenye ulemavu walikuwapo kibao
Maveteran wa Simba. Shoto ni Abdallah Kibaden akiwa na Zamoyoni Mogella. Nyuma yao ni Arthur Mwambeta (shati la mistari)
Kocha wa Yanga akiwa miongoni mwa Simba
Kocha wa Yanga akigoma kupokea fulana ya SimbaZANLINK CELEBRATING ITS 10th ANNIVERSARY

ZANLINK, a leading ISP based in Zanzibar celebrated its 10th anniversary last Friday (6th August 2010) in Zanzibar Serena Inn by hosting a dinner event attended by over 100 stakeholders to share its many achievements and milestones over its 10 year journey. Below are some of the pictures showing what happened during the eventHon. Mahmoud Kombo, Deputy Minister of Information,Culture and Sports - Zanzibar opening the event for ZANLINK. Sanjay Raja, Managing Director of ZANLINK making a presentation on ZANLINK’s achievements over its 10 years of journey and presenting a Vision and goals for the future. Hussein Dharsee (R), board member of ZANLINK and Munira Mussa a ZANLINK staff TEAM member cutting the ZANLINK 10th Anniversary cake
Mr. Munir Bharwani, founding Chair of ZANLINK sharing his views with the stakeholders.
Suhail Sheriff, the current chair of ZANLINK giving a brief history of ZANLINK.
Issa Kassim, a ZANLINK Staff TEAM member being awarded for being with the company for 10 years as the best staff of all times. Presenting the award is Hon. Mahmoud Kombo
Khamis Juma, a staff TEAM member of ZANLINK being awarded for being with the Company for 8 years. Presenting the award is the Chairperson Suhail Sheriff.
John Sinda, staff member of ZANLINK TEAM being awarded as the best engineer and for being with the company for 7 years. Presenting the award is ZANLINK customer, Ms. Katherine Sutton.
Rizwan Mkwizu, staff member of ZANLINK TEAM being awarded for being with the company for 5 years. Presenting the award is ZANLINK customer, Mr. Khamis Said liaison officer of the Aga Khan Foundation in Zanzibar.div>


The entire ZANLINK staff TEAM posing in front of the ZANLINK Cake.
ZANLINK staff and guests enjoy the serene Serena Inn atmosphereTuesday, August 3, 2010

richa adhia on CNN

M-Net's Big Brother ALL STARS: Images from day 14 (Sunday August 1, 2010)

It’s day 14 on M-Net’s Big Brother All Stars --- and Hannington and Sammi are shocked when they are evicted into the brand new BIG BROTHER BARN where their tasks will also see them caretaking chickens and cows! In an action packed show that also saw Ghanaian singing sensations Ruff & Smooth head onto the Big Brother stage, Big Brother revealed an exciting new twist to the popular reality series. Evicted housemates will now enter the Barn and at the end of 9 weeks, audiences will pick which housemates get a chance to return to the main Big Brother All Stars house to compete for the USD 200 000!
Stay tuned to M-Net’s BIG BROTHER ALL STARS with 24/7 coverage on DStv channel 198 plus daily edited shows on M-Net and AfricaMagic.
For more information on the series, log on to www.mnetafrica.com/bigbrother. Pictured here: Lerato and Hannington
/strong>