Monday, May 30, 2011

Da'Emmy na shemeji Dr Michael walipomeremeta

Da'Emmy na marafiki
Da'Emmy na Dr Michael na marafiki
Mzee Maokola Majogo, maharusi na Balozi Francis Mndolwa na Mama Mndolwa
Mzee Majogo akitambulisha familia na maharusi
Mzee Majogo na marafiki wakifurahia harusi
Zawadi ya Mgolole wa Kimasai kwa Shemeji Dr Mkichael
Mama Majogo na wanafamilia katika msosi
Shemeji Dr Michael na  Da' Emmy mnusoni
Shemeji Dr Michael akimwaga kiduku


Da'Emmy na Dr Michael
Da'Emmy akimnyonga  Dr. Michael
Rais Mstaafu Mh. Benjamin William Mkapa awapongeza maharusi
Ni wakati wa kuchukua chakula
Da'Emmy akifurahi na mai hazbendi wake, Dr Michael
Mzee Majogo akimtambulisha Meja Jenerali mstaafu Anatory Ruta Kamazima
Mzee Majogo akiitambulisha familia yake
Rais Mstaafu Mh. Benjamin William Mkapa atambulishwa
Maharusi wapokewa kimila baada ya kuwasili Giraffe hotel
Maharusi wakiwasili mnusoni Giraffe Beach
Da'Emmy na Dr Michael baada ya kumeremeta kanisa la Katoliki la Boko Jumamosi
'I do.... " anasema Da' Emmy
Mchungaji akiunganisha wawili wawe mwili mmoja
Maharusi wa,kati wa kumeremeta kwao
Maharusi wakikaribishwa kanisa Katoliki la Boko jijini Dar


Pre-wedding party ya Da'Swahiba Diamond Jubilee VIP hall

Mama anajiunga na bintiye na wapambe

Da'Swahiba na wapambe wake

Da'Swahiba na marafiki

Ankal anajiunga na Da'Swahiba na familia

Keki Kwa wakwe
Keki kwa Mama na mjomba
Champeni kwa dada
Mwenyekiti Khatibu akitambulisha kamati
Makaka na dada wakifurahia
Da'Swahiba na mista
Zawadi ya Rolex kwa mista
Meza ya mista
Da'Swahiba na mpambe wake
Wadau Shebby na Khatibu ndani ya nyumba
  
Makaka na dada wafurahia

Saturday, May 28, 2011

NELLY KAMWELU NDIE MISS UNIVERSE 2011


Miss Universe 2011,Nelly Kamwera akiwani mwenye furaha mara baada ya kushinda usiku huu katika mashindano yaliyofanyika katika hoteli ya Golden Tulip,Masaki jijini Dar.

Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu (kati) akiwa na mshindi wa pili,Neema Kilango (kulia) na Mshindi wa tatu,Yaceba Asenga mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya Miss Universe 2011 yalifofanyika katika hoteli ya Golden Tulip,Masaki jijini Dar usiku huu.

Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania,George Rwehumbiza (kulia) na Meneja wa Mambo ya Nje wa Vodacom,Nector Foya wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Universe usiku huu.

Mwanzilishi wa Mtandao wa Jamii Forums,Maxence Melo (kulia) na Mmoja wa wasaidizi wake,Bahati Chande wakiwa pamoja na top 3 ya Miss Universe usiku huu mara baada ya kuwapatia zawadi za simu aina Blackberry washindi wa pili na wa tatu.

Miss Universe 2010 aliemaliza muda wake usiku wa leo,Hellen Dausen akimvisha Crown Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu ikiwa ni ishara na kukabidhima rasmi majukumu hayo ya ulimbwende.

Top 5 (anaekatika katikati yao ni MC Abby)

Mratibu wa shindano la Miss Universe,Maria Sarungi akitangaza washindi katika kinyang'anyiro hicho.

Mkurugenzi wa Vodacom Foundation ambaye pia alikuwa ni mmoja wa majaji wa mashindano hayo,Mwamvita Makamba akiuliza swali kwa mmoja wa washiriki wa Miss Universe wakati wa kipindi cha maswali na majibu.

Washiriki woote stejini.

Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na Majaji.

Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na wadhamini waliofanikisha shughuli nzima ya Miss Universe usiku huu.

Majaji wakifuatilia mashindano.

Mwanalibeneke Othman Michuzi akila konozz na Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu katika red carpet.

steji.

AY na Miss Universe 2011.

Ankal akila konozz na Dada zake.

Ankal akila konozz na Wanalibeneke wa Jamii Forums,kulia ni Mike na shoto ni Maxence Melo.

Ankal na Vijana wake wa Kazi.

Ankal na Mdau Richard Rwechungula kutoka Norway ambaye kwa sasa yuko hapa nchini kwa vekesheni fupi.

Mwanamazingaombwe wa Kimataifa,Akanashe Joan akifanya mambo yake.

Akanashe Joan akiwa na kundi lake la African National wakiwajibika usiku huu.

Pozzzzz..............

Da' Mwammy wa Vodacom (pili kulia) akiwa na Shemeji yetu.

Wadau wa Vodacom.

Wadau mbali mbali toka kila mahali walifika katika hoteli ya Golden Tulip usiku huu kushuhudia nani ananyakua taji la Miss Universe 2011.