Friday, May 31, 2013

NSSF MEDIA ALL STARS Vs WABUNGE LIVE ON STAR TV

 Kocha wa timu ya NSSF Media All Stars, Sanifu Lazaro akipimwa afya na Dk. Frida Francis kutoka Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo kabla ya kuanza kwa safari ya kwenda Dodo kupambana na timu ya Wabunge siku ya Jumamosi Juni Mosi kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Pambano hilo litaoneshwa Live kupitia Star Tv.
 Dk. Margreth Mtaki kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo akimpima afya mshambuliaji wa timu ya soka ya NSSF Media Kombaini, Maulid Kitenge kabla ya safari ya kwenda Dodoma kupambana na timu ya Wabunge. 
 Mchezaji wa timu ya Netiboli ya NSSF Media Kombani, Somoe Ng'tu akipimwa afya. 
 Majuto Omari akipimwa afya.
 Salum Mkandemba akichukuliwa vipimo vya afya.
 Wachezaji wa timu ya Netiboli ya NSSF Media All Stars wakiwa katika mazoezi ya lkujiandaa na mnchezo wao dhidi ya Wabunge.
 Wachezaji wa timu ya NSSF Media All Stars wakiwa katika mzoezi ya kujiandaa na mchezo wao kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
 Mazoezi ya viungo
 Kocha wa NSSF Media All Stars, Sanifu Lazaro (kulia) akiongoza mazoezi ya timu hiyo.
 Mbinu za ushindi.
 Kiongozi wa msafara wa timu ya NSSF Media All Stars, Juma Kintu (kushoto) akibadilishana na mchezaji wa timu hiyo, Linus Bugogwa, wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. Timu hiyo imeindoka leo kwenda mjini Dodoma kupambana na timu ya wabunge.
 Wachezaji wa timu ya NSSF Media All Stars wakijifua kwa ajilki ya mchezo wao dhidi ya Wabunge.
 Maandalizi ya mchezo.
 Kiongozi wa msafara wa timu ya NSSF Media All Stars, Juma Kintu akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu ya Netiboli ya NSSF Media All Stars baada ya mazoezi yao ya mwisho kabla ya safari ya kwenda Dodoma kukipiga na timu ya Wabunge. 

IST- AFRICA 2013 CONFERENCE & EXHIBITION IN NAIROBI -KENYA


IST-Africa conference on the development of the Information Society and Knowledge Economy in Africa through - International Research Cooperation, Innovation and Entrepreneurship has started in Nairobi Kenya, has started in Safari Park Hotel in Nairobi Kenya.
 The IST-Africa is supporting the Information Society in Africa through:
- Knowledge Sharing and Skills Transfer between IST-Africa Partners
- Supporting Implementation of 8th Africa-EU Strategic Partnership (Science, Information Society, Space) including Hosting JEG8 Meetings
IST-Africa also directly supports the goals of the African Ministerial Council on Science and Technology (AMCOST) and the Consolidated Plan of Action for the African Regional Action Plan on the Knowledge Economy (ARAPKE).
The Commission for Human Rights and Good Governance (CHRAGG) is participating in the conference, and is going to present on the newly developed system which allows citizens to submit Complaints before the Commission using Short Messaging Service (SMS). The Complaints can be sent using a basic phone or advanced phone. The idea of the new system is to allow Citizens in the Country to be able to report human rights violations and abuse of Good Governance principles to the Commission. The new innovation is part of the Commission plan to take its services close to the Citizen and the more focus is to create a system that will reduce the cost of complainants to submit the complaints to the Commission.
Mr Wilfred Warioba from the Commission  for Human Rights and Good Governance, responding to the comments raised during the prentation of SMS for human rights system, at Safari Park hotel In Nairobi.
Mr. Wilfred Warioba from Commission for Human Rights and Good Governance and Mr. Patrick Chikumba from University of Malawi

INSTRUCTIONS ON HOW YOU CAN SUBMIT 
COMPLAINT BEFORE THE COMMISSION
1.       Open SMS where you write message: write the Complaint starting with the word Report followed by complaint and send it to 0754 460 259
a.       Example 1: Report The village xx we have problem with leader mm and we have evidence he is abusing the power
b.      Example 2: Report Employer xxx is not paying us our salaries and it is more than 3 month he is threatening to sack us.
2.       Once you click send button, you will receive automated message (acknowledgment) and number and email of where to send aditional evidence (at this stage the Investigation staff from the Commission will ring back to confirm the complaint) be read to provide him/her more evidence.
3.       Once the Complaint is verified as a genuine complaint, it will be processed in the next step, a new complaint file will be opened, and you will receive a message on your phone confirming that the Commission has started to investigate your Complaint and you will be provided with the reference number to use in future when you contact the Commission.
To follo up successful complaint follow the following steps
1.       Open your phone SMS, type the word STATUS followed by the Number given on No.3 above
2.       Send it to 0754 460 259 you will receive automated message from our system telling you the stages/status of the Complaints
3.       Example : STATUS 13024 

IN SWAHILI: JINSI YA KUWASILISHA LALAMIKO…
1.       Tuma lalamiko lako ukianza na neno ‘REPORT’ kwenda Na. 0754 460 259
2.       Mfano: REPORT Shule ya Msingi kwetu, DSM tunanyanyaswa chapwa viboko zaidi ya 10
3.       Utapotuma utapokea ujumbe unaokuarifu kuwa lalamiko lako limepokelewa Tume, na utapewa namba au barua pepe ikielekeza kama unayo maelezo zaidi yatume kwa TUME. (Maofisa wa TUME watakupigia tafadhali kuwa na maelezo/vielelezo muhimu ili uchunguzi uanze mara moja.
4.       Lalamiko lako litakapoanza kushughulikiwa, utapata ujumbe wa simu ukikujulisha Namba ambayo utaitumia kufuatilia lalamiko lako. Namba hii itatumwa kwako kupitia namba ya simu uliyotumia awali wakati wa kuwasilisha lalamiko lako.

JINSI YA KUFUATILIA LALAMIKO LAKO…
1.       Utaweza kujua hatua ambazo maafisa wa TUME wamefikia kuhusiana na uchunguzi wa lalamiko lako kwa kutuma ujumbe kwenye namba 0754 460 259.
2.       Andika neno‘STATUS’ likifuatiwa na namba ya jalada uliyopewa kwenye ujumbe wa simu (angalia Na. 4 hapo juu) na utume kwenda Na. 0754 460 259.
a.       Mfano: STATUS 13024.
3.       Utapata ujumbe wa kompyuta ukikueleza hatua ambazo uchunguzi wa lalamiko lako umefikia.

Flyer (SWAHILI VERSION) 
can be downloaded from http://chragg.go.tz/?page_id=43

Mkutano huo umefunguliwa na prof. Kiamba unafanyika katika utasaidi katika kubadilishana utaalamu, ujuzi na uzoefu  baina ya washiriki ikizingatiwa Kuwa nchi nyingi zinazoendelea zipo katika hatua za kibadilisha mbinu za kufanyia kazi ikiwa ni pamoja na kuongezeka Kwa matumizi ya science Kwenye information society.
MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA RAIS DK. SHEIN KATIKA MJI WA NANJING NCHINI CHINA


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Madaktari wakati alipotembelea Hospitali Kuu ya Mjini Nanjing jimbo la Jiangsu Nchini China akiwa katika ziara ya kiserikali katika kukuza uhusiano.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (wa tatu kulia) na ujumbe wake alipozungumza na Uongozi wa Hospitali ya Mji wa Nanjing katika jimbo la Jiangsu, wakati alipotembelea Hospitali hiyo akiwa katika ziara ya kiserikali katika kukuza uhusiano na mashiririkiano ya kiuchumi .
Baadhi ya madaktari wa Drum Tower Hospital wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa na ujumbe wake akizungumza katika kikao cha kubadilishana mawazo na uongozi wa Hospitali hiyo akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali ya jamhuri ya Watu wa China .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto)Mama mwanamwema Shein kulia na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya maendeleo Omar Yussuf Mzee,wakianagalia picha baada ya kumalizika kikao cha pamoja na uongozi wa Drum Tower Hospital.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiangali Picha Mfano wa majengo ya Drum Tower Hospital ,walipokuwa wakitembelea sehemu mbali mbali za ofisi ya Hospitali hiyo,katika ziara ya Kiserikali nchini China,kwa mualiko wa Serikali ya jamhuri ya Watu wa Nchi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakitembelea sehemu mbali mbali za Drum Tower Hospital iliyopo katika Mji wa Nanjing Jimbo la Jiangsu chini China,kwa ziara ya Kiserilkali,kwa mualiko wa Seikalia ya jamhuri ya Watu wa Nchi hiyo,(kulia) Rais akiwa Prof Dr.Yi Tao Ding, wa Chuo Kikuu cha Afya katika DrumTower Hospital .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiapata maelezo kutoka kwa Prof Zhou Chang,wakati alipotembelea sehemu za Uchunguzi wa Afya ya binadamu kwa kutumia kompyuta maalum katika Drum Tower Hospital,Mjini Nanjing katika jimbo la jiangsu kwa ziara ya kiserikali. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wake,pia na Uongozi wa Drum Tower Hospital,baada ya kumaliza kutembelea Ofisi pamoja na Sehemu mbali mbali za kutoa huduma ya Afya,akiwa katika ziara ya mualiko wa Kiserikali nchini China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Jiangsu jana alipofika katika Mkahawa wa Chunzaige Mjini Nanjing,akiwa katika ziara ya mualiko wa Kiserikali wa jamhuri ya Watu wa China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, na ujumbe wake wakiwa katika mkutano wa pamoja na Gavana wa Jimbo la Jiangsu jana alipofika katika Mkahawa wa Chunzaige Mjini Nanjing,akiwa katika ziara ya mualiko wa Kiserikali wa jamhuri ya Watu wa China,[Picha na Ramadhan Othman,China.]
NSSF MEDIA ALL STARS Vs WABUNGE LIVE ON STAR TV

 Kocha wa timu ya NSSF Media All Stars, Sanifu Lazaro akipimwa afya na Dk. Frida Francis kutoka Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo kabla ya kuanza kwa safari ya kwenda Dodo kupambana na timu ya Wabunge siku ya Jumamosi Juni Mosi kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Pambano hilo litaoneshwa Live kupitia Star Tv.
 Dk. Margreth Mtaki kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo akimpima afya mshambuliaji wa timu ya soka ya NSSF Media Kombaini, Maulid Kitenge kabla ya safari ya kwenda Dodoma kupambana na timu ya Wabunge. 
 Mchezaji wa timu ya Netiboli ya NSSF Media Kombani, Somoe Ng'tu akipimwa afya. 
 Majuto Omari akipimwa afya.
 Salum Mkandemba akichukuliwa vipimo vya afya.
 Wachezaji wa timu ya Netiboli ya NSSF Media All Stars wakiwa katika mazoezi ya lkujiandaa na mnchezo wao dhidi ya Wabunge.
 Wachezaji wa timu ya NSSF Media All Stars wakiwa katika mzoezi ya kujiandaa na mchezo wao kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
 Mazoezi ya viungo
 Kocha wa NSSF Media All Stars, Sanifu Lazaro (kulia) akiongoza mazoezi ya timu hiyo.
 Mbinu za ushindi.
 Kiongozi wa msafara wa timu ya NSSF Media All Stars, Juma Kintu (kushoto) akibadilishana mawazo na mchezaji wa timu hiyo, Linus Bugogwa, wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam. Timu hiyo imeindoka leo kwenda mjini Dodoma kupambana na timu ya wabunge.
 Wachezaji wa timu ya NSSF Media All Stars wakijifua kwa ajilki ya mchezo wao dhidi ya Wabunge.
 Maandalizi ya mchezo.
 Kiongozi wa msafara wa timu ya NSSF Media All Stars, Juma Kintu akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu ya Netiboli ya NSSF Media All Stars baada ya mazoezi yao ya mwisho kabla ya safari ya kwenda Dodoma kukipiga na timu ya Wabunge.