Friday, December 24, 2010

RED RIBBON CHARITY GALA 2010 YAFANA

Mtendaji mkuu wa Tanzania Mitindo House Khadija Mwanamboka akiwa na wabunifu, mamodo na MC Taji Liundi wakati wa hafla hiyo ya Red Ribbon usiku wa kuamkia leo Double Tree hotel jijini Dar ambapo jumla ya shilingi milioni 24 zilichangwa kusaidia watoto yatima wanaolelewa na TMH
Wabunge January Makamba wa Bumbuli na Mo Dewji wa Singida mjini wakiwa meaza kuu na balozi wa TMH supa modo Flaviana Matata
Modo katika vazi la kitamaduni
modo katika vazi la mtoko wa jioni
mambo ya kimasai
Morani
Mamaaa wa Serengeti
Ubunifu wa Manju Msitta
Manju Msitta akiwa na modo wake. Jamaa anatisha...
masupa modo wastaafu walikuwepo pia
mdau aliyenunua picha kwa bei mbaya kuchangia yatima
Flaviana akinadi shanga na heleni
Mustafa Hassanali na mamodo
Mama Bang! Emelda na wadau
Mwamvita makamba akiwa kawekwa kati na wadau

Wadau wakisubiri kuchangia yatima
Mama Heineken alikuwapo pia na mdau Andy Capp...
Wadau walijitokeza kwa wingi kuchangia yatima
'Lady Gaga' wa Bongo akisubiri kuchangia
wachangiaji wakisubiri zamu
Mamodo wastaafu wakisubiri kuchangia yatima
Wadau wakifurahi kuwepo kwenye hafla hii
Wadau kila kona
Shamim Zeze huwa hakosi katika minuso dizaini hii
Wadau wa Channel Ten ndani
Wadau toka Zenji walikuwa ndani ya nyumba
Jide na Flaviana wakiwa meza kuu
Mwamvita na mgeni toka Botswana
AY na Juma Mabakila ndani ya hauzzzz
Mange and co.
Lilian internet na rafikie kipenzi. yuko likizo ya uzazi kwa sasa