SHEREHE ZA SIMBA DAY UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Naibu Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mh. Juma Ali Shamhuna (kati) akiwa na viongozi wa Simba wakisimama kuwakumbuka waliotangulia mbele ya haki wakati wa maadhimisho ya Simba Day leo uwanja wa Uhuru, Dar

Friends of Simba wakimpongeza Abdallah King Kibaden Mputa kwa tuzo ya utumishi uliotukuka katika kilabu hiyo ya mtaa wa Msimbazi

Wachezaji na makocha wa Simba shereheni

Kocha msaidizi Selemani Matola akipasha moto vijana wake

Kocha wa makipa kazini

Twanga walikuwepo kupepeta

Shafii Dauda akiwa na vuvuzela

Meneja wa Simba Innocent Njovu (kati) akiwa na
makocha wasaidizi Selemani Matola (shoto) na Amri Saidi

Meneja wa Kilimanjaro Lager George Kavishe akimpongeza Musley Ruwey kwa kupokea tuzo kwa niaba ya baba yake Mzee Saleh Ruwey, mmoja wa wafadhili wakubwa wa Simba

MC Ephraim Kibonde akiwa na afisa habari wa Simba Clifford Ndimbo
No comments:
Post a Comment