Friday, June 29, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBABWE LEO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kiongozi huyo kuondoka kurejea nchini kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018


Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini akiagana na askari wa JWTZ katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dkt. Raymond Mndolwa  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa CCM mkowa wa Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018.

Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Wakuu wa Wilaya za Dar es salaam  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018.





Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   leo Ijumaa Juni 29, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakipunga mikono kumuaga Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   leo Ijumaa Juni 29, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwashukuru wafanyakazi wa vitengo na ngazi mbali mbali kwa  kufanikisha ziara ya Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe katika ziara yake rasmi ya siku mbili nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwashukuru askari wa usalama barabarani waendesha pikipiki kwa utendaji wao mzuri wakati wa ziara ya Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018. Picha na IKULU

BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA



Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Jane Ikira, akimkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, alipotembelea banda la benki hiyo. Katikati ni Meneja Mahusiano wa benki hiyo anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford.
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford (katikati), akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa.
Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford, akizungumza na waandishi wa habari.
Jane Ikira, akimkabidhi zawadi Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika banda lao wakati wa mkutano wa mashauriano na wadau na maonyesho ya bidhaa na huduma za ujenzi yanayofanyika mkoani Dodoma.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la LAPF-Dodoma, Martha Ngwenya, akipeana mkono na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, alipotembelea banda la benki hiyo.
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Nasibu Kalamba (kushoto), akielezea juu ya huduma na bidhaa zinazotolewa na Benki ya CRDB kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (kulia).

Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford (katikati), akielezea juu ya dhamana ya mikopo ya makandarasi inayotolewa na Benki ya CRDB kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, alipotembelea banda la Benki ya CRDB katika mkutano wa mwaka wa makandarasi jijini Dodoma, ulioandaliwa na Bodi ya Makandarasi (CRB) na kudhaminiwa na benki hiyo. Kushoto ni Meneja Mahusiano wa hiyo anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Jane Ikira.
Baadhi ya wateja wakiwa katika banda la Benki ya CRDB wakipata huduma mbalimbali ikiwemo ya kufungua akaunti.
Mteja wa Benki ya CRDB akielezwa kuhusu Kampeni ya Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCardVisa baada ya kufungua akaunti katika banda la benki hiyo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano.
Meneja Mwandamizi Huduma za Kibiashara wa Benki ya CRDB, Baraka Eusebio, akitoa ufafanuzi juu ya huduma mbalimbali za kibenki wanazotoa.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa wamepozi kwa picha ndani ya banda lao kutoka kushoto ni Lucy Kiondo kutoka tawi la Dodoma, Ofisa Maendeleo ya Biashara tawi la Chamwino, Ingrid Nestory, Veronica Komba na Wakala wa Benki hiyo, Upendo Moses.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Veronica Komba (kushoto), pamoja na Ofisa Maendeleo ya Biashara tawi la Chamwino, Ingrid Nestory, wakimuhudumia mteja.
Wakala wa Benki ya CRDB tawi la Chamwino, Upendo Moses, akitoa huduma kwa wateja waliokuja kuweka fedha zao kupitia banda la CRDB.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa wamepozi kwa picha ndani ya banda lao, kutoka kushoto ni Lucy Kiondo kutoka Dodoma Branch, Veronica Komba na Ofisa Maendeleo ya Biashara tawi la Chamwino, Ingrid Nestory.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa (katikati aliyekaa), akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa mkutano wa mwaka wa makandarasi unaofanyika jijini Dodoma ambapo Benki ya CRDB ni miongoni mwa wadhamini wa mkutano huo.

KATIBU MKUU WA CCM BASHIRU ALLY AMTAKA MFANYABIASHARA JIJINI DODOMA KUREJESHA ENEO LA CCM ANALODAIWA KULIHODHI KWA MIAKA MINGI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk. Bashiru Ally amemtaka mfanyabiasha aliyetajwa kwa jina moja la Deogratius wa jijini hapa, kurejesha kwa hiari yake eneo la CCM ambalo anadaiwa kulihodhi kwa miaka kadhaa sasa katika Kata  ya Makutupola wilaya ya Dodoma Mjini ambalo amekujenga ukumbi na fremu kadhaa za maduka.
Dk. Bashiru ametoa agizo hilo kwa mfanya biashara huyo leo alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake katika Kata ya Nakutupola jijini hapa.Amesema amefikia uamuzi huo kwa sababu mfanyabiashara huyo ameonekana kutokuwa na uaminifu wa kutosha kwa kuwa hivi karibuni alizungumza nae ofisini kwake na kuahidi kukutana ili kufanya makabidhiano ya eneo hilo kwa sherehe na nderemo kwenye kikao hicho.

"Cha kushangaza juzi akikuja mwenyewe ofisini kwangu tukaxungumza kwa muda wa saa mbili tukakubaliana leo aje kwenye kikao hiki kukabidhi eneo letu kwa sherehe na ndelemo lakini leo nimempigia hadi simu akasema eti ameenda Dar es Salaam kushughulika na masuala ya mwanae, sasa  endeleeni na mazungumzo  na utaratibu wa makabidhiano akabidhi kwa hiari eneo letu", alisema Dk Bashiru

Dk. Bashiru aliwataka wanachama na viongozi wa CCM kutofanya vurugu za aina yoyote kwa Mfanya biashara huyo na kusema Mchakato uliotumika kurejesha ukumbi ndio utakaotumika kurejesha eneo lote la  Chama na mali yote iliyopo kwenye eneo la hilo ni mali ya CCM.

Katika mkutano huo Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ally amewapokea Winston Edward Katibu Kata hiyo wa CUF na Baraka Tayara Katibu kata wa Chadema pamoja na wanachama 181 kutoka vyama hivyo.
 Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally akipokelewa na Viongozi mbali mbali alipowasili kata ya Makutupola wilaya ya Dodoma mjini leo.
 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwapungia Mkono kikundi cha ngoma

 Mwenyekiti wa Kata ya Makutu pola akifungua kikao hicho
  Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Bi Jamila Yusuph  akizungumza wakati akimkaribisha  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Ndg.Godwin Mkanwa kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM kuzungumza na Viongozi na wanachama wa Kata ya Makutupola Wilaya ya Dodoma Mjini.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma Ndg.Godwin Mkanwa akizungumza wakati akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM kuzungumza na Viongozi na wanachama wa Kata ya Makutupola Wilaya ya Dodoma Mjini
 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akizungumza na Viongozi na wanachama wa CCM na Jumuiya zake wa Kata ya Makutupola leo
 Katibu kata wa Chadema ndg.Baraka M.Tayara akizungumza mara baada ya kukabidhi kadi yake ya uwanachama toka Chama cha Demokrasia na maendeleo alipoungana na Katibu wa kata hiyo toka CUF Ndg.Winston Edward pamoja na wanachama 181 wa Vyama hivyo Leo walipojiunga na CCM.
 Wanachama na Viongozi wa Chama cha Mpinduzi kata ya Makutupola wakiimba nyimbo ya chama mara baada ya kuwapokea viongozi hao.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akizungumza na Mwanachama wa CCM mara baada ya mkutano kumalizika( Picha na Fahadi Siraji CCM Blog)