Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kiongozi huyo kuondoka kurejea nchini kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018
Rais
Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku
mbili nchini akiagana na askari wa JWTZ katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka
kurejea nchini kwake
katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana
na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dkt. Raymond Mndolwa katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya
kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018
l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana
na viongozi wa CCM mkowa wa Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka
kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana
na Wakuu wa Wilaya za Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka
kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana
na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo
Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake
rasmi ya siku mbili nchini katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakipunga mikono kumuaga Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe
aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwashukuru wafanyakazi wa vitengo na ngazi mbali mbali kwa
kufanikisha ziara ya Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe katika ziara
yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini
kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwashukuru askari wa usalama barabarani waendesha pikipiki kwa
utendaji wao mzuri wakati wa ziara ya Rais Emmerson Mnangagwa wa
Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo
Ijumaa Juni 29, 2018. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment