Friday, May 6, 2011

Tuzo za Wanamichezo bora 2010 zafana sana usiku huu

Mgeni Rasmi katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanamichezo bora mwaka 2010,Makamu wa Rais,Dr. Mohamed Gharib Bilal akitoa hotuba kwa wageni waalikwa waliohudhulia hafla hii katika ukumbi wa hoteli ya Movenpic,jijini Dar usiku huu.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akizungumza usiku huu wakati akitoa shukrani kwa tuzo maalum aliyoipata kutokana na mchango wake mkubwa katika sekta ya michezo hasa kwa kujitoa kwake kwa hali na mali kufanikisha ujenzi wa uwanja wa taifa iliyotolewa na Chama cha Michezo nchini,Taswa.
Makamu wa Rais,Dr. Mohamed Gharib Bilal akipiga makofi ya pongezi mara baada ya kumkabidhi tuzo maalu na ya heshima,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa aliyoipata usiku huu.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akimpatia tuzo yake Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL,Teddy Mapunda mara baada ya kukabidhiwa na Makamu wa Rais,Dr. Mohamed Gharib Bilal usiku huu katika ukumbi wa hoteli ya Movenpic,jijini Dar.
Mwenyekiti wa Chama cha Michezo nchini,Juma Pinto akizungumza usiku huu katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanamichezo bora wa mwaka 2010 katika ukumbi wa hoteli ya Movenpic jijini Dar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo za wanamichezo bora 2010,Masoud Saanan akizungumza usiku huu na baadae kuitambulisha kamati yake iliyofanya kazi kwa ufanisi mkubwa na hatimae kufikia hatamu usiku huu.
Mkurugenzi wa Mahusiano wa SBL,Teddy Mapunda akimkabidhi tuzo ya Mwanariadha bora wa Mwaka 2010,Marco Joseph.
Boss wa TSN,Mkumbwa Ally akikabidhi tuzo


































Thursday, May 5, 2011

uzinduzi wa NMB bank house



Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akitembezwa katika jengo la Bank House la NMB jijini Dar lililokarabatiwa upya
Hotuba toka kwa mkurugenzi wa NMB
Huduma kwa wateja wakubwa wa NMB wakati wa uzinduzi wa jengo
Bosi wa Masoko wa NMB akitoa maelekezo kwa vijana wake
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akioneshwa kaunta mpya
Maelezo kwa Waziri Mkuu
Waziri Mkuu akisabahiana na wafanyakazi wa Bank House
Waziri Mkuu katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NMB wa tawi la Bank House
Ukumbi uliokarabatiwa wa NMB wa Bank House
Mapokezi

Huduma kwa wateja

Monday, May 2, 2011

Sherehe za Muungano Zafana UK

Balozi wa Tanzania nchini UK,Mh. Peter Kallaghe akifungua sherehe hizo.
Kiondo kutoka ubalozini akiwa na familia yake.
Maofisa kutoka ubalozini katika sherehe.
wadau wakila pozi.
Mh. Balozi Akiwa na wadau wa Urban Pulse.
Mkurugenzi wa Aset, Asha Baraka akiongea na mama balozi.
Francia ambaye alikuwa akisherekea siku ya kuzaliwa leo na meneja wake Shelamima.
Mh Balozi akiwa na mkewe wakifungua mziki.
Tina na Jesse Malongo.
Kawelee akiwa mzigoni.
Jambo band akitumbuiza.
wakati wa kulisakata rhumba.