Sunday, October 21, 2018

RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMED SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR

Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale waliohudhuria katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi katikati akifanya mahojiano na Mwandishi wa Chanal Ten Albert Kilalah mara baada ya kuwasili katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.kulia ni Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mohmoud Thabit Kombo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein katikati akiwa amefuatana na Waziri wa Habari Utalii na mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo (kulia)na viongozi wengine mara alipowasili katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mohmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Muimbaji kutoka kikundi cha Taarab(SITI AND THE BAND)Amina Omar(siti Amina)akitumbuiza katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein katikati alipokabidhi zawadi kwa Uongozi wa Hotel ya Pack Hayati waliopata ushindi wa kwanza katika mashindano mbalimbali ya mahoteli katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya ufungaji wa Maonesho ya Kwanza ya Utalii yaliochukua muda wa siku Tatu hafla iliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Washindi wa mashindano mbalimbali ya mahoteli katika hafla ya Ufungaji wa Maonesho ya kwanza ya Utalii Hotel Verde Maruhubi Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI, MAELEZO - ZANZIBAR

No comments: