Saturday, October 27, 2018

MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akimkabidhi tuzo ya Mshindi wa kwanza Mwenyekiti wa taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibikaji katika raslimali za madini, mafuta na gesi asilia Bw. Ludovick Utoh alieipokea kwa niaba ya Haki Ardhi katika maonyesho ya wiki yaAsasi za Kiraia 2018 yenyekaulimbiu “Tanzania ya Viwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” katika tukio lililofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma. Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma,  Mhe. Fatma Toufiq

Spikawa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wasabakushoto) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mbali mbali kutoka Asasi za kiraia baada ya kufunga maonyesha ya Asasi za kiraia 2018 yenye kauli mbiu “Tanzania ya Viwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na washiriki mbali mbali kutoka Asasi za kirai (hawapo kwenye picha) wakati akifunga maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu“Tanzania yaViwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto mbele) akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS), Bw. Francis Kiwanga (wa pili kulia) wakielekea katika ukumbi wa African Dream kwa ajili ya kufunga maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu “Tanzania ya Viwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 Jijini Dodoma

Washiriki Mbali mbali kutoka Asasi za kiraia wakiwa katika ufungaji wa maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu “Tanzania ya Viwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS), Bw. Francis Kiwanga wakati  alipowasili katika ufungaji wa maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu “Tanzania yaViwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE

No comments: