Sunday, August 12, 2018

Sherehe za uzinduzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi waliyofika kushudia mechi ya kirafiki kati ya timu ya Simba SC na Namungo FC kwenye uzinduzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11, 2018 

 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Andrea Chezue kushoto akiwa Msemaji wa Simba Haji Manara Kulia, wakishuhudia mechi ya kirafiki kati ya timu ya Simba SC na Namungo FC waakt wa uzinduzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11, 2018
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Mama Mary Majaliwa na viongozi wengine  wakikata utepe kuzindua uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11, 2018
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na viongozi wengine wakikimbia kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11, 2018
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa Simba, kabla mechi ya kirafiki kati ya timu ya Simba SC na Namungo FC kwenye uzinduzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11, 2018
  Wachezaji wa timu ya Simba SC na Namungo FC, wakisakata kabumbu, kwenye mechi ya kirafiki kati ya timu hizo mbili, baada ufunguzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11, 2018

 Mashabiki wa soka, wakiangalia  mechi ya kirafiki kati ya timu ya Simba SC na Namungo FC, kwenye uzinduzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
 Wachezaji wa timu ya Simba SC na Namungo FC, wakisakata kabumbu, kwenye mechi ya kirafiki kati ya timu hizo mbili, baada ufunguzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11, 2018
 Wachezaji wa timu ya Simba SC na Namungo FC, wakisakata kabumbu, kwenye mechi ya kirafiki kati ya timu hizo mbili, baada ufunguzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11.2018

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mechi  ya kirafiki kati ya timu ya Simba SC na Namungo FC kwenye ufunguzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Agosti 11, 2018. Kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Lindi Fadhili Juma na kaimu Rais wa Simba Salim Try Again. 
Kocha Jamhuri Kihwelu na wadau wa soka akiangalia  mechi ya kirafiki kati ya timu ya Simba SC na Namungo FC, kwenye uzinduzi wa uwanja wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa.
Picha na ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: