Wednesday, August 15, 2018

DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA "CHAWL" JUMBA LA TRENI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mji wa Zanzibar Bw.Khatib Abdulrahman Khatib Babu mara alipowasili katika ufunguzi wa Jumba la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini ambalo limefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China, wakati wa sherehe iliyofanyika jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akifungua pazia kama ishara ya kulifungua Jumba la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China, wakati wa sherehe rasmi iliyofanyika leo (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid Mohamed Salum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (mbele) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifungua rasmi katika sherehe zilizofanyika jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (mbele) wakiteremka ngazi wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifungua rasmi katika sherehe zilizofanyika jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (katikati) mara baada ya kulifungua Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar lililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China katika sherehe zilizofanyika jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar baada ya kulifuingua leo,ililofanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar zilizofanyika leo ambalo limefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake leo kwa Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar ambalo limefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China,(kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Bibi.Sabra Issa Machano (kulia)Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu.
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la "Chawi" maarufu Jumba la Treni liliopo Dajani Mjini Zanzibar ambalo ilimefanyiwa matengenezo makubwa na Kampuni ya CRJE kutoka China wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa kitoa hutuba yake ya ufunguzi wa jengo hilo uliofanyika jana. Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments: