Mwenyekiti
mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila
akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura mara baada ya
kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini
Iringa leo akiwashinda wapinzani wake wawili Bw. Evance Balama na Salim
Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC
mkoa wa Iringa.
Mwenyekiti
mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila
akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura na kuelezea Dira na
Mwelekeo wa Uongozi wake mara baada ya kushinda uchaguzi huo
uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa, katikati ni
Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa
ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa na kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Mh.
Januari Makamba.
Bw.
Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa
wa Iringa katika uchaguzi huo akiwashukuru wapiga kura mara baada ya
kutangazwa mshindi kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Mh. Januari
Makamba na kulia ni Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa
Iringa Bw. Albert Chalamila
Mwenyekiti
mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila kulia
na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
(NEC) mkoa wa Iringa wakiwashukuru wana CCM mkoa wa Iringa kwa kuwaamini
na kuwapa ridhaa ya kukiongoza chama hicho.
Mwenyekiti
mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila kuli
na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC)
mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangazwa
washindi katika uchaguzi huo.
Mwenyekiti
mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila na
Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa
Iringa wakiwa wakii.furahi paoja na wapiga kura mara baada ya kutangazwa
washind
Salim
Abri Asas Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM( NEC) akipongezwa
na wanachama mbalimbali wa CCM mara baada ya kutangazwa mshindi katika
uchaguzi huo.
Wapiga kura wakiendelea na upigaji wa kura wakati wa uchaguzi huo.
Kura zikiendelea kupigwa
No comments:
Post a Comment