Mkuu wa Wilaya na Viongozi wengine wakikagua moja ya darasa Shule ya Sekondari Kiva.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh. Godwin Gondwe na viongozi wengine wakishiriki kujaza zege kwenye ndoo kwaajili ya kumwaga kwenye jamvi la matundu ya vyoo.
Mkurugenzi Mtendaji Bw. William Makufwe akishiriki kujaza zege kwa ajili ya kumwaga kwenye jamvi la matundu ya vyoo na viongozi wengine.
fundi mkuu wa ujenzi wa madarasa na vyoo akitoa maelezo kwa viongozi juu ya ujenzi wa matundu ya vyoo
baadhi ya wafanayakazi wakiendelea na kazini
Mkuu wa Wilaya ya Hnadeni Mh.Godwin Gondwe akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Zavuza kwenye mkutano wa hadhara
moja ya jengo la darasa linaoendelea kujengwa
baadhi ya wananchi walioshiriki Mkutano wa Hadhara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw.Wiliam Makufwe akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kwechigwe wakati wa uhamamsishaji wananchi kushiriki nguvu kazi.
No comments:
Post a Comment