Balozi wa Japan nchini Tanzania,
Masaharu Yoshida, Novemba 21, 2017 alitembelea
Ofisi za Wizara ya Madini za jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki na Naibu wake, Stanslaus Nyongo ambapo
walijadiliana masuala mbalimbali ikiwemo fursa za uwekezaji kwenye Sekta ya
Madini nchini.
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (Kushoto) akizungumza jambo wakati wa
mkutano na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (hayupo
pichani) alipotembelea Ofisi za Wizara ya Madini za Dar es Salaam. Kulia
ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akijadiliana jambo na Balozi wa
Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto). Kulia ni Naibu Waziri
wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto). Kulia ni
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (kulia) na Balozi wa Japan nchini Tanzania,
Masaharu Yoshida (kushoto) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Madini,
Stanslaus Nyongo (hayupo pichani).
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (Kushoto) akizungumza jambo wakati wa
mkutano na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (hayupo
pichani). Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo.
Waziri
wa Madini, Angellah Kairuki (katikati) akijadiliana jambo na Balozi wa
Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto) alipotembelea Ofisi za
Wizara. Kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo. Masuala
mbalimbali ya Sekta ya Madini nchini yalijadiliwa ikiwemo uwepo wa fursa
za uwekezaji.
No comments:
Post a Comment