Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Maliasili na Utalii,
Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho
Gambo wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kiltaro katika
tararafa ya Loliondo kuendelea na ziara yake wilayani Ngorongoro
Desemba, 15, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanawake wa Kimasai wakati
alipotembelea Kituo mafunzo ya kazi za mikono na utamaduni kilichojengwa
na UNICEF katika kijiji cha Ololosokwan kilichopo Loliondo wilayani
Ngorongoro Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi mbalimbali za mikono hasa mapambo
yanayotengenezwa na wanawake wa kimasai katika kijiji cha Ololosokwan
katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro wakati alipotembelea Kituo
cha Mafunzo ya kazi za mikono na utamaduni kijijini hapo Desemba 15,
2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya nyumba ya asili ya wamasai
maarufu kwa jina la Emanyatta katika kijiji cha Ololosokwan kwenye
tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya nyumba ya asili ya wamasai
maarufu kwa jina la emanyatta katika kijiji cha Ololosokwan kwenye
tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro Desemba 15, 2016.
Wananchi
wa kijiji cha Ololosokwan kwenye tarafa ya Loliondo wilayani
Ngorongoro wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipowasalimia akiwa ktika ziara ya wilaya ya Ngorongoro Desemba 15,
2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanchi wa kijiji cha Ololosokwan
katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa
wa Arusha Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment