Thursday, October 6, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais Dr John Pombe Magufuli alipa muda wa miezi miwili shirika la umeme TANESCO kufikisha umeme kwenye kiwanda cha Azam kilichopo mkoani Pwani.https://youtu.be/579Vw-bmIE4
SIMU.TV: Waziri wa elimu sayansi teknolojia na mafunzo ya ufundi atangaza kuwafukuza vyuo walimu wanafunzi waliompiga mwanafunzi. https://youtu.be/rQK8J5fZNUs

SIMU.TV: Wadau wa sekta ya habari nchini waiomba serikali kuwapa muda wa kupitia muswada wa kupata habari kabla ili watoe maoni yao kabla ya kujadiliwa bungeni.https://youtu.be/b28Teb4Bdgc

SIMU.TV: Viongozi waandamizi wa mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Geita gold mine watembelea kituo cha habari cha channel ten ili kujenga mahusiano mazuri ya kuwafikia wananchi. https://youtu.be/06HGoXLdAs8

SIMU.TV: Wakazi wa eneo la Segerea jijini Dar es Salaam waulalamikia uongozi wa shule ya Tusiime kwa kutiririsha maji machafu kwenye makazi yao. https://youtu.be/QAw7JtuIyNE

SIMU.TV: Benki ya CRDB imefanikiwa kupata jumla ya tuzo kumi na mbili za kimataifa kwa mwaka huu na kuahidi kutanua huduma zake katika kiwango cha kimataifa,https://youtu.be/B5_jStG3et0

SIMU.TV: Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom wa makao makuu na wale waliopo maeneo mbalimbali wameungana leo kuwafika wateja kule waliko ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja. https://youtu.be/WL0K-svlpBo

SIMU.TV: Benk ya biashara ya ACB yaahidi kuongeza ubunifu kwenye huduma zake ili kuendelea kuwa benki bora kwa huduma hapa nchini. https://youtu.be/B0y5jTqC2Mo

SIMU.TV: Uongozi wa klabu ya soka ya Azam wakanusha uvumi wa kukwamisha uhamisho wa mchezaji Farid Musa kwenda klabu ya Dipotivo tenerife ya nchini Hispania.https://youtu.be/oDeuMut78w8

SIMU.TV: Kwa niaba ya wanachama na wapenzi wa klabu ya Simba, uongozi wa klabu hiyo wamuomba radhi rais wa jamhuri ya muunga wa Tanzania kwa uharibifu uliofanywa katika uwanja wa taifa. https://youtu.be/pPyuZHYi9EU

SIMU.TV: Mkurugenzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini awaomba watanzania kuondokana na dhana potofu ya kuamini kuwa michezo hiyo ni ya watu wasiokua na kazi.https://youtu.be/JuKATyq3puQ

No comments: