Monday, October 31, 2016

BARAZA LA MADIWANI MANYARA LAKUTANA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, Tamimu Kambona, akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo.

Diwani wa Kata ya Lengatei Mainge Lemalali akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara.

No comments: