Thursday, September 15, 2016

UTT AMIS YATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA CHA UPENDO

 Watoto wa Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Upendo cha Buguruni jijini Dar es Salaam wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa misaada mbalimbali ikiwemo mafuta ya kupikia, sabuni, unga, mchele na sukari kutoka UTT AMIS.
Ofisa Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Martha Mashiku akizungumza na watoto wanaolelewa katika Kituo cha Watoto Yatima cha Upendo kilichopo Buguruni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa UTT Amis, Martha Mashiku (wa pili kulia) akikabidhi sehemu ya msaada wa vitu mabalimbali kwa mmoja wa watoto wanaoishi katika Kituo cha Kulelea Yatima cha Upendo cha Buguruni jijini Dar es Salaam, Abdi Mohamed. Kushoto ni Ofisa Masoko wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani na kulia ni Ofisa Masoko UTT AMIS, Pauline Kasilati.
Ofisa Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa UTT Amis, Martha Mashiku (wa pili kulia) akikabidhi sehemu ya msaada wa vitu mabalimbali kwa mmoja wa watoto wanaoishi katika Kituo cha Kulelea Yatima cha Upendo cha Buguruni jijini Dar es Salaam, Nasra Heri. Kushoto ni Ofisa Masoko wa UTT AMIS, Waziri Ramadhani na kulia ni Ofisa Masoko UTT AMIS, Pauline Kasilati.
Watoto wanaoishi katika Kituo cha Kulelea Yatima cha Upendo cha Buguruni jijini Dar es Salaam wakipokea msaada wa Unga, mafuta ya kupikia, sabuni, sukari pamoja na mchele.
Picha ya pamoja.

No comments: