Meneja Masoko, Utafiti na Maendeleo wa Bank of Africa (BOA), Bw. Muganyizi Bisheko akionesha card aina ya PROXIMA iliyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Benki ya Afrika (BOA) imezindua kadi mbili TOUCAN VISA CARD na PROXMA VISA CARD ambazo zinasaidia kulinda usalama wa mteja tofauti na zilizokuwa zimetolewa mwanzo. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Njia Mbadala za Huduma za Kibenki Kidigital wa Bank of Africa (BOA), Bw. Emmanuel Mshindo. Picha na Emmanuel Massaka wa Blogu ya Jamii.
Mkuu wa Kitengo cha Njia Mbadala za Huduma za Kibenk Kidigital wa Bank of Africa (BOA), Bw. Emmanuel Mshindo akionyesha kadi aina ya TOUCAN iliyotolewa na benki ya Afrika (BOA). Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Wafanyabiashara Wadogo, Bw. Kaisha Boge. Mkuu wa Kitengo cha Wafanyabiashara Wadogo, Bw. Kaisha Boge (katikati) akizielezea kadi hizo zilizotolewa nabenki ya Afrika (BOA) mapema leo jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
No comments:
Post a Comment