Monday, June 6, 2016

TAMASHA LA VYUO VIKUU LA PSPF DODOMA LAFANA
Washindi wa kwanza katika mchezo wa soka tamasha la PSPF mjini Dodoma, St. Johns wakiwa na kombe lao katika picha na mgeni rasmi, Naibu Waziri wa  Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, (wapili kulia), na maafisa wa PSPF, wakiongozwa na Afisa Masoko mwandamizi, Rahma Ngassa. (wakwanza kulia). Tamasha hilo lilifanyika uwanja wa Jamhuri mjini humo Juni 5, 2016
Naibu Waziri wa  Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, (kushoto), akipokewa na Afisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa, tayari kufungua tamasha la michezo la vyuo vikuu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
 Wachezaji wa UDOM wakimenyana na Chuo cha Mipango katika soka
 Naibu waziri Anastazia Wambura, (kushoto), akikabidhi kombe kwa naodha wa timu ya Netiboli ya Chuo Cha Mipango
 Mchezaji wa CBE, (kushoto), akiumiliki mpira mbele ya mwenzake wa Chuo Cha Mipango
 Naibu waziri akimpabidhi kombe nahodha wa timu ya soka ya ya Chuo Kikuu Cha St. Johns
 Wachezaji wa timu za Voliboli wa UDOM na CBE wakimenyana
 Msanii Banana Zoro akiburudisha wakati wa tamasha hilo
 Timu ya soka ya CBE
 Timu ya Voliboli ya CBE
 Wachezaji wa Chuo Cha Mipango wakimenyana na wenzao wa UDOM katika Netiboli
Afisa Masoko Mwandamizi wa PSPF, Rahma Ngassa

No comments: