Monday, June 6, 2016

Azania Bank Kids Run 2016 zavutia wengi Dar

Watoto wakishiriki mbio za Watoto zilizopewa jina la Azania Bank Kids Run 2016 wakianza mbio za Kilometa moja katika viwanja vya Mnaza Mmoja jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis Dande) 
Askari wa usalama Barabarani akiwa tayari kuongoza mbio hizo.
Washiriki wakitimu mbio.
Washiriki wa mbio za Kilometa 2 wakianza kutimua mbio.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo (BMT), Dioniz Malinzi akizindua mbioza Azania Bank Kids Run zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa mbio za mita tano wakianza kutimua mbio.
Washiriki wa mbio za mita tano wakianza kutimua mbio.
Washiriki wa mbio za mita tano wakianza kutimua mbio.
Washiriki wa mbio za mita tano.
Washiriki wa mbio za mita tano.
Mathayo Sima akiwa amewaacha mbali wenzake. 
Mathayo Sima akimaliza mbio za Kilometa 5 na kuibuka mshindi wa kwanza.
Mshindi wa kwanza wa mbio za Kilometa 5 wavulana, Mathayo Sima akiwa na furaha baada ya kumaliza mbio.
Washiri wa mbio za Kilometa 5 wakimaliza.
Baadhi ya washiriki wakimalizia mbio za Kilometa 5.
Watoto wakishiriki mbio za mita 50
Watoto wakionyesha umahiri wa kukimbia mbio fupi.
Wototo wakichuana.
Wanariadha wakichuana katika mbio za mita 50.
Watoto wakiwa na wazazi wao kabla ya kuanza mbio za Mita 100.
Watoto wakikimbia mita 50.
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka akizungumza katika mbio hizo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Azania Bank ambao ni wadhamini wakuu wa mbio hizo akizungumza katika mbio hizo.
Mgeni rasmi katika mbio hizo, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo, Dioniz Malinzi akitoa hotuba yake.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo (BMT), Dioniz Malinzi akimpongeza mshindi wa kwanza wa mbio za mita 5 za Azania Bank Kids Run, Mathayo Sima.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Michezo (BMT), Dioniz Malinzi akimvisha medali mshindi wa kwanza wa mbio za Kilometa 5, Mathayo Sima.
Mshindi wa kwanza wa mbio za Azania Bank Kids Run 2016 za kilometa 5, Mathayo Sima akipokea zawadi zake kutoka kwa mgeni rasmi.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi (wa tatu kushoto) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mbio za Watoto wa Azania Bank Kids Run 2016 akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mbio za kilometa 5 wavulana. Wengine katika picha ni Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka (wa tatu kulia) pamoja na viongozi wa Benki ya Azania ambao ni wadhamini wakuu wa mbio hizo.

No comments: