Saturday, June 11, 2016

SIMU TV: YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO June 11, 2016

Waziri mkuu Mh.Kassim Majaliwa amewaagiza watendaji wote wa serikali kuhakikisha michango yote ya madawati inawafikia walengwa: https://youtu.be/huuvjoo9qs
 Wizara ya mambo ya ndani imeliagiza jeshi la polisi nchini kujipanga kikamilifu ili kukabiliana na vitendo ya mauaji: https://youtu.be/gMBbsFCxh_w
 Gari la mwendokasi likiwa katika harakati ya kuikwepa bodaboda  limemgonga mlemavu aliyekuwa akivuka barabara maeneo ya kariakoo: https://youtu.be/sTEK269NSTg
 Rais Magufuli amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri  na kumteuwa Waziri Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa wambo ya ndani: https://youtu.be/nscSn743vq0
 Maelfu ya wanachama wa club ya soka Yanga  wamejitokeza katika zoezi la kupiga kura na kuchagua viongozi wa club hiyo; https://youtu.be/8K8L5Mb7dMw
 Kocha wa timu ya Yanga amesema wanatarajia kuondoka kesho na kikosi chake kwa ajili ya kujiandaa na kombe la shirikisho barani Afrika: https://youtu.be/zOkWRjfzMMA
 Mashindano ya  mataifa barani Ulaya yamefunguliwa jana nchini Ufaransa  ambapo mataifa 24 yanatarajia kuminyana kwa siku 30; https://youtu.be/HFOr1QWz9cM
 Rais Magufuli amewateua Mhe. Charles Tizeba kuwa waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi huku Mhe. Mwigulu Nchemba akiteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi.https://youtu.be/NTeYRenzP5w
 Waziri mkuu Kassim Majaliwa azitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha mbao zilizokamatwa kwa kukiuka kanuni mbalimbali zitengenezewe madawati.https://youtu.be/ihTjTQfHI-I
 Mkuu wa mkoa wa tabora Aggrey Mwanri amefunga kiwanda cha mbao cha Kirungi Kirua kilichopo wilaya ya Kaliua  na kuagizwa kukamatwa kwa mmiliki wa kiwanda hicho na maafisa misitu wa wilaya hiyo.https://youtu.be/wMk7yD6fcf0
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amemtaka mkandarazi anayejenga daraja la mto Sibiti linalounganisha mkoa wa Singida na Simiyu kuendelea na ujenzi wa daraja hilo uliokuwa umesimama kwa takribani miaka 3. https://youtu.be/eU_9M7fjnYQ
 Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Pwani wamelaani vitendo vya mauaji ya kikatili yaliyotokea hivi karibuni katika mikoa ya Tanga na Mwanza.https://youtu.be/6RlhAaTGgF0
 Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Charles Mwijage ameagiza makampuni yaliyopewa dhamana ya kusambaza sukari nchini kutumia magari mengi zaidi kusafirisha bidhaa hiyohttps://youtu.be/yGocPulmm5E
 Baraza la manispaa limekamata vyakula vya biashara vya mama ntilie ambavyo zimepigwa marufuku kutokana na kuwepo kwa Kipindupindu. https://youtu.be/3k-QyxD4taQ
 TBC: Hatimaye aliyekuwa mwanamasumbwi nguli duniani marehemu Muhammad Ali amezikwa katika makaburi ya mji aliozaliwa. https://youtu.be/4aD8KupvpZE

No comments: