Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa kushoto Ndugu David Shambwe akiwa na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Felix Daudi Ntibenda wakipiga makofi kuashiria furaha ya ukaribisho wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Safaricity Matevez Arusha leo. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa kushoto Ndugu David Misonge Shambwe akiwa na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Felix Daudi Ntibenda na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Calist Lazaro wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa Mradi wa #SafariCity
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa kushoto Ndugu David Shambwe akizungumza na wananchi pamoja na wafanya Biashara wa Jiji la Arusha wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi
Mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wa Jijini Arusha akisimama baada ya kutambulishwa na Mgeni rasmi Mh Felix Daudi Ntibenda katika hafla ya uzinduzi wa #SafariCity
Baadhi ya wawekezaji na waendelezaji wakifuatilia tukio hilo Muhimu la uzinduzi wa #SafariCity
Baadhi ya wawekezaji na waendelezaji wakifuatilia tukio hilo Muhimu la uzinduzi wa #SafariCity
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa #SafariCity Mh Felix Daudi Ntibenda akipanda mti pamoja na Mstahiku Meya wa Jiji la Arusha Calist Lazaro ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa #SafariCity
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa kushoto Ndugu David Shambwe akizungumza na wananchi pamoja na wafanya Biashara wa Jiji la Arusha wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa #SafariCity Mh Felix Daudi Ntibenda akipanda mti pamoja na Mstahiku Meya wa Jiji la Arusha Calist Lazaro ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa mji wa #SafariCity
No comments:
Post a Comment