Viongozi na wananchama wa Upendo Women's Group wakipata picha ya pamoja |
Wageni mbalimbali walihudhuria shughuli hiyo |
Wageni mbalimbali walihudhuria shughuli hiyo |
Kina mama wa Upendo wakiingia ukumbini kwa shangwe huku wakiimba nyimbo ya kuisifia Tanzania |
Burudani ya muziki wa Jazz ilitumbuizwa na kikundi cha JAIL CITY VETERAN,watu waliburudika sana na muziki huo |
Mitindo na tamaduni mbalimbali za kitanzania zilionyeshwa ukumbini hapo,pichani bidada Chantal katikati akiwa na wasichana wadogo wa kitanzania wakiwaonyesha wageni waliohudhuria maisha ya kitanzania |
Bidada Jacky akionyesha wazungu jinsi ya kukuna nazi kwa kibao cha mbuzi,huu ndio utamaduni halisi wa mtanzania |
Vazi la khanga kwa wasichana warembo lilishika chati ukumbini hapo |
Mwanadada Chantal akionyesha vazi la Kimasai katika maonyesho ya mavazi ili kuchangia fedha katika hospital ya Mwananyamala..Dada huyu kajitolea dola za kimarekani 500 |
Utamaduni wa mwambao wa pwani pia ulionyeshwa,hapo kina kaka na madada kwa mbali wakionyesha utamaduni wa mzanzibari |
Mmoja wa wawakilishi wa Lions Club Wetteren Rozenstreek ya Ubelgiji akikabidhi hundi kwa wana Upendo Women's Group |
Mwakilishi wa Inne wheel wetteren akimkabidhi hundi mwenyekiti wa Upendo Women's Group Mrs Theresia Greca katika kuchangia hospitali ya Mwananyamala nchini Tanzania |
Wana Upendo Group baada ya shughuli za uchangishaji kuendelea pia walitoa sadaka ya chakula kwa kila mgeni aliyefika ukumbini hapo |
Wageni wakiendelea kupata chakula. {picha zote na Maganga One Blog} |
No comments:
Post a Comment