Sunday, June 5, 2016

DKT SHEIN ANOGESHA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA YA KATI, PONGWE, UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea risala ya Chama cha Mapinduzi wakati wa mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi Wilaya Kati,Mkoa wa Kusini  Unguja  uliofanyika leo katika ukumbi wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe uliowashirikisha Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Maskani na Makatibu
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Ramadhan Abdalla Ali akimkabidhi hati ya shukrani Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein iliyotoka kwa Wanachama cha Mapinduzi Wilaya ya kati  wakati wa mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza wanachama cha Wilaya hiyo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea Taarifa ya Chama Mkoa kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoa Kusini  Bi Sauda Mpambalioto wakati wa mkutano wa kuwashukuru na kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Unguja uliofanyika leo katika ukumbi wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe
 Wanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Azoa Resort &SPA Zanzibar iliyopo Pongwe Wilaya ya Mkoa wa Kusini Unguja
 Wanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati wa mkutano wa kuwapongeza na kuwashukuru Wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe Wilaya ya kati
 Mwanachama cha Mapinduzi wa Jimbo la Tunguu Omar Azani Jecha wakati alipokuwa  akitoa mchango wake uliogusia zaidi suala la uvuvi kwa wanachama wa jimbo hilo aliuotoa leo katika ukumbi wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe  wakati wa Mkutano wa kuwashukuru Viongozi wa Mashina,wenyeviyi wa Matawi na Maskani uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein 
 Wanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakinyoosha mikono juu kuunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati alipokua akiwashukuru kuwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe Wilaya ya Kati
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakati walipokuwa akizungumza na wananchi na viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Unguja alipowapongeza na kuwashukuru kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa marudio uliofanyika Mwezi machimwaka huu katika ukumbi wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe Mkoa wa Kusini Unguja 
 Mwanachama cha Mapinduzi wa Jimbo la Chwaka Salma Hassan Msingiri wakati alipokuwa  akitoa mchango wake uliogusia zaidi suala la kusaidiwa kuchimbiwa Kisima cha maji safi na salama waweze kumagilia katika kilimo,  katika ukumbi wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe  wakati wa Mkutano wa kuwashukuru Viongozi wa Mashina,wenyeviyi wa Matawi na Maskani wa Wilaya ya Kati Unguja uliofanywa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama cha Mapinduzi CCM na Viongozi wa Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja leo wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao na kuwashukuru baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe Wilaya ya Kati,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai

No comments: