Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Wajumbe wa Mkutano wa kwanza wa Mifuko ya Maendeleo ya
Jamii TASAF kuhusu mpango wa Uhawilishaji wa Fedha na kunusuru kaya
Masikini kwa Nchi Jumuiya za Afrika uliofunguliwa leo Mei 16, 2016
katika Hoteli ya Ngurudoto Mjini Arusha.
Washiriki
wa Mkutano wa kwanza wa Mifuko ya Maendeleo ya Jamii TASAF kuhusu
mpango wa Uhawilishaji wa Fedha na kunusuru kaya masikini kwa Nchi
Jumuiya ya Afrika wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akifungua mkutano leo Mei
16, 2016 katika Hoteli ya Ngurudoto Mjini Arusha.
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angela
Kairuki kabla ya kufungua Mkutano wa kwanza wa Mifuko ya Maendeleo ya
Jamii TASAF kuhusu mpango wa Uhawilishaji wa Fedha na kunusuru kaya
masikini kwa Nchi Jumuiya ya Afrika wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua
akifungua mkutano leo Mei 16, 2016 katika Hoteli ya Ngurudoto Mjini
Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anaeshughulikia Nchi za
Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Bibi. Bella Bird walipokutana
katika ukumbi wa Mikutano wa Ngurudoto Mjini Arusha leo Mei 16, 2016,
ambapo Makamu wa Rais alifungua mkutano wa kwanza wa TASAF kuhusu
Uhawilishaji wa Fedha na kunusuru kaya masikini kwa Nchi Jumuiya ya
Afrika.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela kwa
ajili ya kukabiliana na uhaba wa Madawati. Jumla ya Madawati Elfu 16.5
yenye thamani ya Tshs. 1 Bilioni moja zilikabidhiwa kwa Wakuu wa Mikoa
inayozunguka Mbuga ya Hifadhi ya Taifa kwa ajili ya kukabiliana na
tatizo la Madawati kwenye Shule zote zilizomo katika Wilaya za Mikoa
hiyo. Makabidhiano hayo yamefanyika leo Mei 16,2016 katika ukumbi wa
Ngurudoto mjini Arusha. Katikati waziri wa Maliasili Utalii Profesa
Jumanne Magembe (Picha na OMR)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Chiku Galawa kwa ajili
ya kukabiliana na uhaba wa Madawati. Jumla ya Madawati
Elfu 16.5 yenye thamani ya Tshs. 1 Bilioni moja zilikabidhiwa kwa Wakuu
wa Mikoa inayozunguka Mbuga ya Hifadhi ya Taifa kwa ajili yakukabiliana
na tatizo la Madawati kwenye Shule zote zilizomo katika Wilaya za Mikoa
hiyo. Makabidhiano hayo yamefanyika leo Mei 16,2016 katika ukumbi wa
Ngurudoto mjini Arusha. Katikati ni waziri wa Maliasili Utalii Profesa
Jumanne Magembe.
No comments:
Post a Comment