Tuesday, April 12, 2016

Timu ya Uchukuzi SC IKIJONOA VIKALI KWA MASHINDANO YA MEI MOSI

 Wachezaji wa timu ya netiboli ya Uchukuzi Sports Club, Grace Mwasote (kushoto mwenye mpira) akizuiwa na Johari William wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Bandari, Kurasini mwishoni mwa wiki. Timu hiyo inajiandaa kwa mashindano ya Mei Mosi yatakayofanyika mjini Dodoma,
 Mary Kajigili (kulia) na Sharifa Mustafa
 Maimuna Ayelo (kulia) akirusha mpira huku Mayasa Hamidu (kushoto) akiuzuia.
 Tatu Kitula mmoja wa wafungaji tegemeo akijiandaa kurusha mpira.
 Grace Mwasote akiwa na mpira akiangalia jinsi ya kuwatoka wachezaji wenzake wa timu ya netiboli ya Uchukuzi Sports Club. Wengine pichani ni Johari William (kushoto) na Maimuna Ayelo.
 Matalena Mhagama mfungaji mkongwe pia wa timu  ya Taifa ya netiboli(kushoto), akizuiwa na Sharifa Mustafa (kulia) huku Mary Kajigili (kushoto nyuma),akiangalia.
Maimuna Ayelo (kushoto) akidaka mpira huku Subira Jumanne akijiandaa kumzuia katika mazoezi ya timu ya netiboli ya Uchukuzi yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bandari Kurasini, wakijiandaa na mashindano ya Mei Mosi.
Imetolewa na kitengo cha Sheria na Mahusiano - TAA

No comments: