Monday, April 18, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Simu.tv:  Manispaa ya Kinondoni imetakiwa kuwaunga mkono wananchi wa Madale wanaotumia nguvu zao wenyewe kujenga barabara https://youtu.be/PwDyzEcff5c
 Simu.tv:  Wilaya ya Kisarawe yaiomba Dawasco kuiunganisha na mradi wa maji wa Ruvu kwa sababu haina chanzo cha kuaminika https://youtu.be/-cB-zvp4fRI
 Simu.tv:  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda atangaza kutokuwa tayari kufanya kazi na mkurugenzi wa jiji hilo kufuatia kashfa ya ubadhirifu fedha katika Stand ya mabasi ya Ubungo https://youtu.be/1dT1R1fwtYg
 Simu.tv:  Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha adha ya mafuriko kwenye makazi ya wananchi jijini Dar es Salaam https://youtu.be/4Tl82OXTeE8
 Simu.tv:  Vikundi vya ujasiriamali vimeaswa kutunza uaminifu ambao ni nguzo ya muhimu kwenye kufikia malengo ya mikopo yao https://youtu.be/6ipWNWpHAbs
 Simu.tv:  Wakazi wa Arakata Wilayani Monduli wabainika kutumia maji machafu ambayo si salama kwa matumizi ya binadamu https://youtu.be/BXL3NiQd92Y
 Simu.tv:  Wananchi wa vijiji vya Makao na Mbuyuni wameandanama kumkataa mwenyekiti wao wa kijiji baada ya kuonekana kutokujali kero zaohttps://youtu.be/N9aznnDjOjQ
 Simu.tv:  Simba wamekubali kichapo cha bao moja bila wakati walipocheza na timu ya Toto afrika hivyo kushindwa kuongoza ligi https://youtu.be/SXOSvawn-GM
 Simu.tv:  Licha ya Taekwondo kuwa mchezo mgeni Tanzania umeonekana kuwa unaweza kuifanya Tanzania kungara kimataifa hapo mbelenihttps://youtu.be/zmYb_DAAz0A
 Simu.tv:  West Ham imewabana vinara wa ligi kuu Uingereza Leicester City kwa kuwalazimisha sare ya goli mbili  kwa mbili. https://youtu.be/nw_cA-1TXkQ
Simu.tv:  Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Mkonda amevitaka vyombo vinavyohusika kuwachukulia hatua kali wale wote waliohusika na ufisadi wa Bilioni 3 Ubungo Terminal; https://youtu.be/0IbfDUkpTUA
 Simu.tv:  Wanawake nchini wametakiwa kutumia fursa za kimaendeleo zilizopo ili kujiongezea kipato na kukuza uchumi; https://youtu.be/WCIuint1GeY
 Simu.tv:  Jamii ya Watanzania imeombwa kuisaida serikali katika juhudi za kupiga vita maambukizi mapya ya Ukimwi hususani kwa vijana; https://youtu.be/qIn5o8OcHpI
 Simu.tv:  Wananchi wafurahishwa na kuanza kwa matumizi ya daraja jipya ya Kigamboni kufuatia kurahisha shughuli zao za kila siku;https://youtu.be/vUQEXdbBuow
 Simu.tv:  Watumishi wazembe katika hospitali ya Mwananyamala waliohusika kutoa taarifa tata juu ya kijana Abdul Mohamed aliyelishwa sumu kuchukuliwa hatua;https://youtu.be/1ZvroItPBtE
 Simu.tv:  Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Nape Nnauye ahidi kuiboresha TBC ili kufikia watanzania wote kwa ujumla;https://youtu.be/Gu03YkWFGnE

No comments: