Saturday, December 12, 2015

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA USIKU WA TUZO YA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2015Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na utawala wa benki ya CRDB, Bi Ngalija wakati wa kutoa zawadi katika hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na Makamu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Bwana, Norman Msigala wa CCBRT baada ya kutoa hotuba nzuri katika hafla hiyo.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, akiongea katika hafla hiyo.

Mwakilishi wa CCBRT, Amour Abdallah na Mshauri wa Maendeleo wa Rasilimali watu wakipokea tuzo kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Mwkt wa ATE, Mh. Almasi Maige, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, Makamu Mwkt wa ATE, Zuhura Muro na Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad (kushoto).

Mkurugenzi wa Masoko wa Kilombero Sugar, Ephraim Mafuru akipokea tuzo kutoka kwa kwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka.

Mwakilishiwa Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi nchini (SSRA), Lightnes Mauki akipokea tuzo kutoka kwa kwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki.

Mwakilishi wa Kampuni ya Maswala ya Kisheria ya Yakubu & Associates Chamber, Dkt. Timoth Kyepa akipokea tuzo kutoka kwa kwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Katibu Mkuu wa TUCTA, Mwkt wa ATE, Mh. Almasi Maige, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, Makamu Mwkt wa ATE, Zuhura Muro, Mkurugenzi Mtendaji wa ATE na Dkt. Aggrey Mlimuka.


Naibu Mkuu wa Rasilimali watu wa Kampuni ya Tigo, Doris Luvanda akipokea Kikombe cha mshindi wa Mwajiri Bora wa Mwaka 2015, kutoka kwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu, Dkt. Florens Turuka na Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Saidi Meck Sadiki na Mkurugenzi wa ATE, Dkt. Aggrey Mlimuka.

Mjasiriamali Binafsi wa Kampuni ya Malaika Investiment, Jeniffer Shigoli akiwa na kikombe chake baada ya kukabidhiwa na Mhe. Waziri Mkuu, Dkt. Florens Turuka.

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TBL, David Magesa akipokea Kikombe cha mshindi wa jumla wa Mwajri Bora wa Mwaka 2015, kutoka kwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu, Dkt. Florens Turuka na Makamnu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro.

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa meza kuu, na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TBL, akipokea Kikombe cha mshindi wa jumla wa Mwajri Bora wa Mwaka 2015, kutoka kwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu, Dkt. Florens Turuka na Makamnu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro.


Wawakilishi wa SSRA wakiwa katika hafla hiyo.

Wawakilishiwa NMB Bank. Wafanyakazi wa Kampuni ya TBL, wakishangilia na vikombe vya ushindi walivyokabidhiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuibuka washindi wa jumla wa Tuzo ya mwajiri bora wa mwaka katika hafla iliyoandaliwa na Chama cha waajiri nchini (ATE) jijini Dar es Salaam jana.

 
Wafanyakazi wa Kampuni ya TBL, wakishangilia na vikombe vya ushindi walivyokabidhiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuibuka washindi wa jumla wa Tuzo ya mwajiri bora wa mwaka katika hafla iliyoandaliwa na Chama cha waajiri nchini (ATE) jijini Dar es Salaam jana.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa meza kuu na sekretarieti iliyoandaa hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicholaus Mgaya, Makamu Mwkt wa ATE, Zuhura Muro, Mwkt wa ATE, Mh. Almasi Maige, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, Mkurugenzi wa ATE, Dkt. Aggrey Mlimuka na MC P. Mavunde.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa meza kuu na viongozi wa Kikanda katika hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Mwakilishi wa ILO Kwa Tz, Kenya Uganda na Rwanda, Anthony Rutabanzibwa, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicholaus Mgaya, Makamu Mwkt wa ATE, Zuhura Muro, Mwkt wa ATE, Mh. Almasi Maige, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, Mkurugenzi wa ATE, Dkt. Aggrey Mlimuka na MC P. Mavunde.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa meza kuu na walifanikisha mchakato wa washindi wa hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicholaus Mgaya, Makamu Mwkt wa ATE, Zuhura Muro, Mwkt wa ATE, Mh. Almasi Maige, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, Mkurugenzi wa ATE na Dkt. Aggrey Mlimuka.

Washindi wa tatu wa Tuzo ya mwajiri Bora wa Mwaka (EYA), CCBRT wakiwa na vikombe vyao.

Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi nchini (SSRA), Lightnes Mauki (kushoto) pamoja wa wawakilishi wa mamlaka hiyo wakiwa na baadhi ya vikombe walivyota katika hafla hiyo.


Mjasiriamali Binafsi wa Kampuni ya Malaika Investiment, Jeniffer Shigoli akipokea kikombe kutoka kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Dkt. Florens Turuka Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu. Wafanyakazi wa Kampuni ya TBL, wakipata selfie na vikombe vya ushindi walivyokabidhiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kuibuka washindi wa jumla wa Tuzo ya mwajiri bora wa mwaka katika hafla iliyoandaliwa na Chama cha waajiri nchini (ATE) jijini Dar es Salaam jana.Meza kuu ikiongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika hafla hiyo.

Wawakilishi wa SSRA wakiwa katika hafla hiyo.

Norman Msigala Mwakilishi wa CCBRT akitoa hotuba katika hafla hiyo.

Meza ya NHC mmoja wa wadhamini wa hafla hiyo.

Baadhi ya wadhamini wakifuatilia hafla hiyo.Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni zilizodhamini hafla hiyo wakifuatilia matukio mbalimbali. (Imeandaliwa na Robertokanda blogs)

No comments: