Saturday, December 12, 2015

SIMU TV: HABARIK KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI


SIMU.TV: Rais Magufuli awaapisha  mawaziri pamoja na manaibu waziri 30 kati ya 34 leo mapema ikulu jijini Dar Es Salaam: https://youtu.be/6fUnjjMDDYk
 SIMU.TV: Naibu waziri wa afya Mh. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Ilala baada ya kuapishwa na Rais Magufuli:https://youtu.be/B9-lZHVK_8Y
 SIMU.TV: Baadhi ya wafanya biashara na makampuni watii agizo la Rais la kulipa kodi kabla ya siku saba huku wengine wakiwa bado wanadaiwa:https://youtu.be/BxpAWMy7_N0
 SIMU.TV: Kaya Zaidi ya 14 wilayani Nachingwea mkoani Lindi wakumbwa na balaa kubwa la njaa baada ya wafugaji kuvamia maeneo:https://youtu.be/t2vZEw5uLGg
 SIMU.TV: Mamlaka ya chakula na dawa TFDA mkoani Kigoma wameteketeza bidhaa ambazo hazina kiwango na ubora kwa matumizi ya binadamu:https://youtu.be/tRLIFmN8OOo
 SIMU.TV: Jijini Dar Es Salaam leo, Vinara wa ligi kuu Azam FC pamoja na mkali simba mnyama watoka sare kwa mabao wawili kwa mawili:https://youtu.be/ywF-Xo6rKx8
 SIMU.TV: TRA kupambana na makampuni 15 yaliyogomea agizo lililotolewa   juu ya kulipa kodi ndani ya siku 7 alilotoa rais Magufuli; https://youtu.be/yStmV0ayqeY  
 SIMU.TV: Polisi wanachunguza vifo vya watu wawili waliofariki katika mazingira ya kutatanisha na miili yao kukutwa karibu na mgodi;https://youtu.be/FssWzMxKAE8   
 SIMU.TV: Mvua kubwa imesababisha uharibifu wa mazao na kuwaacha wananchi bila makazi baada ya nyumba zao kuezuliwa mapaa na upepo mkali mkoani Iringa ; https://youtu.be/JsKfQwhcIxE
 SIMU.TV: Mamlaka ya mawasiliano TCRA yakusudia kusimamisha huduma za redio na televisheni ambazo wamiliki hawatalipia ada za leseni;https://youtu.be/pxjVeoHWlbc
SIMU.TV: Mufti Zuberi amewataka masheikh wa Dar es salaam kujiendeleza kielimu ili kuendana na kasi ya maendeleo; https://youtu.be/hm_OrIs-A40 
 SIMU.TV: Watumishi 15 wa idara ya ardhi Kagera  wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa uchunguzi dhidi ya tuhuma za kugawa hati kinyume na sheria;https://youtu.be/WLim4k3YZ20
 SIMU.TV: Wakazi wa Tabata Kisukuli wameshiriki katika bonanza ya michezo ikiwa ni lengo la kujiimarisha kiafya; https://youtu.be/q5zxOVLRBUY
 SIMU.TV: Mashindano ya michezo ya polisi jamii kwa mwaka 2015 yamehitimishwa kwa kuasa wanamichezo kutumia michezo kuimarisha upendo na amani; https://youtu.be/GX5ECH-C5yo
 SIMU.TV: Kocha Moirinho wa Arsenal aitaka Chelsea kupigania nafasi yake ya nne katika ligi kuu ya Uingereza; https://youtu.be/6EWgnwBS1Rc  
 SIMU.TV: Wilaya ya Chato imejiwekea mikakati ya kuanzisha na kuendeleza viwanda kwa lengo ya kuendeleza ajira; https://youtu.be/SqCBJ30tTQM
 SIMU.TV: Halmashauri ya Kilosa imeanza kukarabati miundombinu mbalimbali ili kujiunua kiuchumi na kuvutia wawekezaji; https://youtu.be/hUg3rJ2qYro
 SIMU.TV: Baada kuapishwa kama Waziri wa Afya na maendeleo ya jamii Mhe. Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Mwananyamala. https://youtu.be/BjaNw_eiCYM
 SIMU.TV: Mamlaka ya mapato TRA imefanikiwa kukusanya zaidi Shilingi Bilioni 10 ikiwa ni makusanyo ya wadaiwa wa kodi za makontena.  https://youtu.be/yhDo6E_BuK8
 SIMU.TV: DAWASCO imetangaza mkakati mahususi wa utoaji wa kiwango cha maji safi watakachopata wananchi ili kuboresha huduma ya maji.  https://youtu.be/JwINzwralvw
 SIMU.TV: Ligi kuu soka Tanzania bara imeendelea leo katika maeneo mbalimbali huku timu za Simba na Azam zikitoka sare ya bao 2 kwa 2.  https://youtu.be/FZsJ6ALdYw0

No comments: