Tuesday, October 20, 2015

MAHAFALI YA KWANZA YA SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA YA SULLIVAN PROVOST YA KIBAHA YAFANA.

Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wa  Shule ya Sekondari ya Wavulana ya  Sullivan Provost , wakihudhuria mahafali yao ya kwanza yaliyofanyika shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Mkoani Pwani hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost,  Rachel Mwalukasa (kushoto), akizungumza katika sherehe za mahafali ya kwanza ya kidato cha ya shule hiyo shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Pwani hivi karibuni. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Shule, Jacob Mkumbo, Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Godfrey Zimba na mgeni rasmi Prof. Ibrahim Shao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost,  Rachel Mwalukasa (wa pili kushoto), akimpongeza Emmanuel Sebyo,  mmoja wa wanafunzi waliofanya vizuri kimasomo wakati sherehe za mahafali ya kwanza ya kidato cha ya shule hiyo shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Pwani hivi karibuni. Kushoto ni mmoja wa wajumbe wa bodi ya shule hiyo, Prisca Mwalukasa.
Prof. Ibrahim Shao (wa pili kulia) aliyekuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sondari ya wavulana ya Sullivan Provost, Christopher Mfulu (kulia), wakati wa mahafali ya kwanza ya shule hiyo, shuleni hapo  Kibaha kwa Mathias, Pwani hivi karibuni. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa shule hiyo, Rachel Mwalukasa na Mwenyekiti wa Bodi, Godfrey Zimba.
 Prof. Ibrahim Shao (wa pili kulia) Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, aliyekuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sondari ya wavulana ya Sullivan Provost, Abdul Waziri (kulia), wakati wa mahafali ya kwanza ya shule hiyo, shuleni hapo  Kibaha kwa Mathias, Pwani hivi karibuni. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa shule hiyo, Rachel Mwalukasa,  Mwenyekiti wa Bodi, Godfrey Zimba na Mkuu wa shule hiyo, Jcob Mkumbo.



No comments: