Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya
Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku
tatu iliyoanza jana Octoba 19 na inatarajia kufika tamati kesho octoba 22 ikiangazia juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na
Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women
Association).
Katika Semina hiyo, imebainika kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu, Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari hawajaweka kipaumbele katika kuandika na kuripoti habari za Wagombea Wanawake katika nyadhfa mbalimbali nchini huku pia idadi ya Wanawake waliojitokeza kugombea katika uchaguzi huo ikionekana kuwa finyu ikilinganishwa na idadi ya Waume.
Ni kutokana na hali hiyo, Wanahabari wamehimizwa kuandika na kuripoti habari/ Matukio ya Uchaguzi mkuu kiundani zaidi kwa kuzingatia usawa kwa wagombea wote bila kujali jinsi zao hususani kuwaweka kando Wanawake huku wanawake wenyewe wakihimizwa kuwa mstari wa mbele zaidi katika kushiriki masuala mbalimbali ikiwemo ya kiuongozi katika jamii.
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu iliyoanza jana Octoba 19 na inatarajia kufika tamati kesho octoba 22 ikiangazia juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women Association).
Semina ikiendelea kwa wanahabari kushiriki Utambuzi wa Mambo/Vitu kwa Vitendo
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu iliyoanza jana Octoba 19 na inatarajia kufika tamati kesho octoba 22 ikiangazia juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women Association).
Mmoja wa Wanahabari akichangia Mada
Wawezeshaji
Godfrida Jola ambae ni Afisa Miradi TAMWA akitoa Mada
Mshiriki wa Semina
Mwezeshaji akiwasilisha Mada
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Habari katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiwa Jijini Mwanza katika Semina ya siku tatu iliyoanza jana Octoba 19 na inatarajia kufika tamati kesho octoba 22 ikiangazia juu ya VYOMBO VYA HABARI NA UCHAGUZI iliyoandaliwa na Chama cha cha Wanahabari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA-Tanzania Media Women Association).
Wanahabari wakifuatilia habari za wagombea wanawake zilizoandikwa na Magazeti ya hii leo ambapo imebainika kuwa habari hizo hazikupewa kipaumbele

Mmoja wa Watoa Mada, Mama Maimuna Amina Kanyamala ambae ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la MikonoYetu la Jijini Mwanza.
Wanahabari wakifuatilia habari za wagombea wanawake zilizoandikwa na Magazeti ya hii leo ambapo imebainika kuwa habari hizo hazikupewa kipaumbele
Selfie. Ni katika
Ni muda wa Tea Break
Tea Break Time
Tea Break Time
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII
No comments:
Post a Comment