Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akifungua Mkutano wa kutathmini
huduma za Wazee Zanzibar ulioandaliwa na Wizara yake kwa ufadhili wa Shirika la
HelpAge International katika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanzibar.
Naibu Mkurugenzi wa Shirika la HelpAge Internalinal Smart
Daniel akizungumza na washiriki wa Mkutano wa kutathmini huduma za
Wazee Zanzibar katika Hoteli ya Ocean View Kilmani (kushoto) Naibu
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na kushoto Mwenyekiti wa Mkutano huo
Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Haji Makungu Mgongo. PICHA NA
RAMADHANI ALI / MAELEZO ZANZIBAR.
Washiriki wa Mkutano huo wakiwa katika
kazi za vikundi wakijadiliana juu ya mikakati itakayofanikisha kuandaliwa
mazingira bora ya maisha ya Wazee Zanzibar.
Daktari Dhamana Wilaya ya Wete
akiwasilisha kazi za vikundi katika mkutano wa kutathmini huduma za Wazee
Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Saleh Muhammed Jidawi akifunga mkutano wa kutathmini
huduma za Wazee Zanzibar uliofanyika katika Hoteli ya Ocean View Kilimani Mjini
Zanzibar.
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Mkutano huo uliohudhuriwa na Wakuu
wa Wilaya za Zanzibar, Madaktari dhamana wa Hospitali kuu za Wilaya,
Jumuia ya Wazee na Taasisi za kiraia baadhi ya maofisa wa Wizara ya Afya.
No comments:
Post a Comment