Mkuu wa Mkoa Dodoma,
Luteni Mstaafu, Chiku Galawa akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa kuwasilisha
Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na
Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma, tarehe 12
Septemba, 2015.
Mjumbe wa Kamati ya Maafa
wilayani Mpwampwa, Shekh, Sabah Seif akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kujadili
Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na
Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma, tarehe 12
Septemba, 2015.
Wakuu wa wilya za Mkoa wa
Dodoma ambao pia ni Wajumbe wa Kamati za Wilaya za Maafa wakifuatilia
uwasilishaji Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na
Kukabiliana na Maafa kwa Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini
Dodoma, tarehe 12 Septemba, 2015. Wakwanza ni; Shaban Kisu (Kondoa),
Ramadhani Maneno (Chemba), Francis Kimoga (Bahi) na Bituni Msangi (Mpwapwa).
Mratibu Maafa Ofisi ya
Waziri Mkuu, Charles Msangi akisisitiza
jambo wakati akiwasilisha Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya
Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa wa Halmashauri ya Chamwino, wakati wa Mkutano wa kujadili Utekelezaji wa Mpango kwa Halmashauri za
Chamwino, Kondoa na Mpwapwa mjini Dodoma, tarehe 12 Septemba, 2015.
Mkuu wa Mkoa Dodoma,
Luteni. Mstaafu, Chiku Galawa (walio kaa katikati) akiwa na wajumbe wa Kamati
za maafa za wilaya mkoani Dodoma mara baada kufungua Mkutano wa kuwasilisha Taarifa
ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango ya Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa kwa
Halmashauri za Chamwino, Kondoa na Mpwapwa , tarehe 12 Septemba, 2015.
No comments:
Post a Comment