Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia
Kabaka, (kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa
Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, wakati wakichukua nafasi zao kwenye
uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, jijini Dar es Salaam,
Septemba 4, 2015. Waziri Kabaka alizindua bodi hiyo itakayoongozwa na
Mwenyekiti wake, Bw. Emmanuel Humba
Waziri Kabaka akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi hiyo
Mwenyelkiti
wa Bodi ya Wadhamini Bw. Emmanuel Humba akipokea chati cha usajili wa Mfuko wa
Fidia kwa Wafanyakazi Kutoka kwa Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka
(Cheti cha Usajili kimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya
Hifadhi ya Jamii Nchini SSRA)
Mwenyekiti
wa Bodi, Bw. Humba, (katikati), akitoa hotuba yake. Kulia ni Waziri
Kabaka na kushoto ni Mkurugeniz Mkuu, WCF, Masha Mshomba
Mgeni
rasmi, Waziri Kabaka, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi
ya wadhamini ya Mfuko huo, baada ya uzinduzi rasmi wa bodi
Waziri
wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka akitoa hotuba kwa Wajumbe wa Bodi ya
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) pamoja na wageni waalikwa kabla ya
kuzindua Bodi hiyo Rasmi.
Khalfan
Said Photojournalist K-VIS MEDIA P.Box 77807 Mobile; +255
646-453/+255-653-813-033 Blog:http//khalfansaid.blogspot.com Dar es
Salaam, Tanzania
No comments:
Post a Comment