Saturday, September 5, 2015

SIMU TV: HABARI katika televisheni USIKU HUU

CHADEMA wazindua rasmi kampeni katika jimbo la Singida ambapo mgombea wa jimbo hilo aahidi kushughulikia kero mbalimbali zinazowakabili wananchi hao.http://youtu.be/0veg9LB_n6M

Mgombea mwenza wa CCM aendelea na kampeni na kuwahakikishia wananchi kua ilani ya CCM ni ya manufaa kwa jiji la Dar es salaam. http://youtu.be/Zr-dBlA3Mes

Msajili wa hazina nchini azitaka taasisi za fedha kukamilisha taratibu za kisheria za kusign mikataba ya makubaliano ya malengo ya utendaji na serikali.http://youtu.be/GXy89NXzWCI

Upatikanaji wa huduma ya magonjwa ya moyo nchi watarajia kuboresha kutokana na jitihada za kuhakikisha upatikanaji wa vifaa na madaktari bingwa wa moyo.http://youtu.be/gHRPazVuPyI

Mamlaka ya dawa na chakula yazindua sehemu muhimu ya uchunguzi wa dawa yaani maabara ya uchunguzi wa dawa. http://youtu.be/blR6hJAuiwk

Shirika la viwango nchini TBS labaini kuwepo kwa zaidi ya asilimia 80 ya vipande vya umeme jua au solar panel vilivyochini ya ubora maeneo ya Kariakoo.http://youtu.be/YpYe58s9DrQ

Kocha mkuu wa timu ya soka ya Tanzania Boniface Mkwasa amwomba rais Kikwete kuhudhuria kesho kushudia mtanange kati ya Taifa star na Nigeria.http://youtu.be/NYQhNr0_MEI

Uongozi wa timu ya Ndanda Fcyatangaza kwa wapenzi wa timu hiyo kua huenda timu hiyo ikafanya vibaya msimu huu kwa kukosa fedha za maandalizi.http://youtu.be/MHMNbkruc60

Raisi wa Nigeria atangaza mali zote anazomiliki huku lengo likiwa ni kupiga vita vitendo vya ufisadi vilivyo kithiri nchini humo. http://youtu.be/JVl2NQ5BUTc

Mgombea mwenza wa uraisi kupitia CCM,Bi Samia Suluhu aendelea na kampeni jijini Dar es salaam huku akihaidi kuboresha sekta ya afya. https://youtu.be/1ie_iSYzsnY

Maafisa wa polisi zaidi ya 100 wahitimu mafunzo maalumu kuhusiana na uchaguzi utakao fanyika October 2015. https://youtu.be/O4k7Z7wtFDE

Mgombea uraisi wa Chadema Edward Lowassa ahaidi kuufufua uchumi wa mkoa wa Kigoma na kuufanya kuwa kitovu cha biashara. https://youtu.be/VWnhR5PakGo

Masheikh 6 raia wa Tanzania waliokuwa wakishikiliwa nchini Congo wawasili nchini huku wakieleza kilicho wasibu. https://youtu.be/AxFQhT3emJw

Balozi wa Vatcan nchini Tanzania asifu ushirikiano uliopo baina ya serikali na mashirika ya dini nchini kama njia ya bora ya kuboresha huduma za kijamii.https://youtu.be/DFY490tdsmw

Wafuasi wa vyama vya Ukawa takribani 110 mkoani Arusha wavihama vyam vyao na kujiunga na ACT kwa madai ya kumuunga mkono Dr.Slaahttps://youtu.be/GTL5siRWtrQ

Chama cha Chadema Mkoani Mwanza chaanza kampeni zake za ubunge huku kikihaidi kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hilohttps://youtu.be/87a_uWQoz0c

Mgombea Mwenza wa uraisi kupitia CCM,bi Samia Suluhu ahaidi kuondoa kero ya foleni inayolikabili jijini Dar es salaam. https://youtu.be/wAJxAHVOwLo

Mwamko mdogo wa wananchi kuchangia damu salama kwa hiari waelezwa kuwa mdogo kufuatia kukosekana kwa elimu ya kutosha. https://youtu.be/-X1t7pjVycg

Ofisi ya waziri Mkuu kitengo cha uratibu wa Maafa yazindua mpango wa kukabiliana na maafa katika wilaya za Mvomero na Kilosa mkoani Morogoro.https://youtu.be/eDKEohfzeP4

No comments: