Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akikagua moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na salama
wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa
ajili ya kukagua mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa
na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya
wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa
Kijiji hicho, Makame Madina
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kukagua
moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na salama wakati alipofika
katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua
mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho
umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao
waliokosa maji kwa miaka mingi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Kigunda,
baada ya kukagua mradi wa Maji safi na salama katika Kijiji cha Kigunda Wilaya
ya Kaskazini A Unguja kwa, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji
hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao
waliokosa maji kwa miaka mingi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiangalia moja ya Kompyuta za kufundishia wanafunzi wa
Shule ya Msingi Kigunda, wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya
Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua mradi wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi
huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana
na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Kushoto ni Katibu wa
Kamati ya Maendeleo wa Kijiji hicho, Makame Vuai.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiangalia Msingi wa Msikiti wa Shule ya Msingi Kigunda,
baada ya kukagua mradi wa Maji safi na salama
unaosimamiwa na Kijiji hicho ambao umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais
kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Kulia kwake
ni Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Makame Madina.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha
Bwereu, Juma Nyange Omari, wakati alipofika kukagua moja kati ya Visima vinne
vya Maji safi na salama wakati wa ziara yake ya kutembelea mradi huo katika
Vijiji vya Kigunda na Bwereu Wilaya ya Kaskazini A Unguja, leo Sept 10, 2015.
Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana
na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment