Thursday, September 10, 2015

SIMU TV:HABARI ZA USIKU WA LEO

Waziri wa manbo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe awataka waangalizi wa uchaguzi wa ndani na nje kuzingatia sheria na taratibu za Tanzania.https://youtu.be/-32-2hlDp4c

Chuo cha maendeleo ya maji nchini kiko mbioni kuanzisha mtambo wake wa kwanza wa majaribio ya biogas. https://youtu.be/eXpmSrHp9Yg

Baraza la waislamu Tanzania BAKWATA lampata Mufti mkuu wa Tanzania kufuatia uchaguzi ulifanyika mapema hii leohttps://youtu.be/hO77JZ_NOUc

Mahakama ya Kisutu ya jijini Dar es salaam yaendelea kusikiliza kesi inayomkabili Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima. https://youtu.be/ntJpEEh_t4E

Jeshi la polisi mkoani Manyara laanza uchunguzi kufuatia kuzagaa kwa taarifa za uwepo wa kundi la kigaidi linalotoa mafunzo kwa vijana wadogo.https://youtu.be/39byFM908Oo

Jaji Joseph Warioba awashukia wapinzani wanaodai CCM haijafanya chochote tangu uhuru huku akiwataka wapuuzwe. https://youtu.be/vkD3IJHmQZM

Serikali kupitia waziri wa Ardhi William Lukuvi imefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na mwekezaji uliodumu mda mrefu wilayani Arumeru.https://youtu.be/Oju2ZnRnw-I

Mamlaka ya Chakula na dawa nchini Yafanikiwa kukamata shehena ya viroba vya pombe vye thamani ya shilingi milioni 70 vinavyofanikiwa kuwa feki.https://youtu.be/lSs08F5NqEE

Tanzania yashika nafasi ya 3 Afrika Mashariki kufuatia kushindwa kuvuka viwango vya kimaitifa vya uwazi wa kibajetihttps://youtu.be/MD9a0MWyESA

Sintofahamu yatawala jijini Dar es salaam kufuatia kuzagaa kwa taarifa za uwepo wa viwango vya juu vya nauli za mabasi ya mwendo kasi. https://youtu.be/q_Z4qvlivLw

Mgombea uraisi wa Chadema na Ukawa Edward Lowassa aendelea na kampeni mkoani Dodoma huku akihaidi kutatua kero ya maji. https://youtu.be/RW6vkQadKpg

Waziri mkuu Mizengo Pinda asema urutubishaji wa chakula unaohimizwa ni ule wa kuongeza viinilishe ili kuepukana na utapia mlo na udumavuhttps://youtu.be/7GHdDnwuSMg

Baadhi ya wananchi wa jimbo la Mtwara vijijini wamekuwa na maoni tofauti juu ya uamuzi wa Kada wa CCM kutetea jimbo hilo kwa miaka 15.https://youtu.be/lpQ1xN6buns

Mamlaka ya elimu nchini yatoa ruzuku ya shilingi milioni 300 chuo kikuu cha sayansi cha Mwalimu Nyerere kama msaada wa ujenzi na uanzishaji mtaala. https://youtu.be/-A_iAnAEVHc

Chama cha Chauma, chaafungua kampeni zake za uraisi visiwani Zanzibar huku mgombea uraisi kupitia chama hicho akihaidi kutatua kero za jamii.https://youtu.be/OI8IqdqpSmA

Raisi Kikwete apokea tuzo ya kimataifa ya utawala bora kufuatia juhudi zake katika kutafuta amani na akudumisha utawala bora. https://youtu.be/RwmymEtj338

Mgombea Uraisi wa CCM Dr.Magufuli aendelea na kampeni zake mkoani Mara huku akihaidi kutatua kero ya maji na umeme mkoani humo. https://youtu.be/oLNTl2NthB0

Mgombea mwenza wa CCM Bi.Samia Suluhu,ahaidi kushughulikia tatizo la pembejeo kwa wakulima wakati akinadi sera mkoani Pwani. https://youtu.be/I0jrnNbP8Ec

No comments: