Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya akifanya manjonjo yake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam
Mshairi Neema Komba, kutoka La poetista akifannya ushairi wake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam
Grace Matata, akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015,
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam
Eric Omondi akiimba wimbo wake wa Nabeba Mawe
Mchekeshaji Eric Omondi akivunja mbavu za mashabiki waliohudhuria onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015,
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam
DJ Gregg Mwendwa wa Santuri Safari kutoka Kenya akicheza 'ngoma' wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015,
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam
Hawa ni mashabiki, uzalendo umewashinda wakajitupa jukwaani kucheza
Mwanamuziki Leo Mkanyia akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert
(EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam
Watu walicheeeeeka mpaka basi, usicheze na Omondi
Wanamuziki wa Sarabi Band kutoka Kenya wakitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015,
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam
Hakuna mchezo Sarabi band wakiwa kazini
Mashabiki wakicheza muziki wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam
Watu walikuja kwa wingi kushuhudia show ya East Africa Vibes Concert
lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res
Salaam. Picha zote na Pamoja Blog
No comments:
Post a Comment