Wahitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba
wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Wanafunzi shule Darasa la nne Shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba
wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Wahitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba
wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Wanafunzi wa Darasa la awali Shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba
wimbo wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni
jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Shule ya Kimataifa ya Joyland, Fedrick Otieno akiwasaidia
watoto wa darasa la awali kupanda juu ya jukwaa kuimba wimbo maalum
wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini
Dar es Salaam
Wanafunzi waDarasa pili Shule ya Kimataifa ya Joyland, wakicheza ngoma ya
utamaduni (Ndolela) wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo
Tuangoma Kigamboni jijini Dar es Salaam
Skauti wa Shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiruka sarakasi wakati wa
mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es
Salaam
Mhitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, Colin Christopher
akisoma hotuba wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Mkaguzi Mkuu wa Elimu Kanda, Shani Kanungira akitoa hotupa ya awali kabla
ya mgeni rasmi wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma
Kigamboni jijini Dar es Salaam
Mwakilishi wa Afisa Elimu ya Msingi Manispaa ya Temeke, Frank Makingi
akizungumza Tuangoma Kigamboni Dar es Salaam wakati wa mahafali ya pili
ya shule hiyo
No comments:
Post a Comment