Afred Salwa (MZUMBE) akiwasilisha Mchango wake kuhusu Muswada wa Baraza la Vijana la Taifa wa Mwaka 2015 wakati wa kipindi cha majadiliano kwenye Bunge hilo
Wajumbe wa Bunge la Vijana wakishiriki Vikao vya Bunge hilo Mjini Dodoma
Waziri Mkuu katika Bunge la Vijana kwa mwaka 2015 Alexandra Wasonga (ARDHI) akijibu Maswali ya papo kwa papo Bunge wakati wa Kipindi cha Masuali kwa Waziri Mkuu
Waziri kivuli wa Vijana kutoka Kambi Pinzani kwenye Bunge la Vijana Bi. Joyce Shirima akielezea baadhi ya Mapendekezo ambayo yanastahili kuingizwa kwenye Muswada wakati wa Majadiliano Bungeni
Mbunge wa Bunge la Vijana Shughaib Abdi (CBE) akielezea baadhi ya mapungufu yaliyopo katika Muswada huo wakati wa Mjadala wa kujadili Muswada huo Bungeni
Mwanasheria Mkuu katika Bunge la Vijana kwa mwaka 2015 Gama Zulu Leonidas (SAUT) akiwasilisha Muswada wa Serikali wa Kuanzisha sheria ya Baraza la Vijana la Taifa wa Mwaka 2015 Bungeni jana.
Spika wa Bunge la Vijana kwa mwaka 2015 Baraka Thomas (UDSM) akiongoza vikao vya Bunge
Daudi Maneno (MUST) nae akitoa dukuduku lake wakati wa Majadiliano Bungeni
Spika wa Bunge la Vijana kwa mwaka 2015 Baraka Thomas (UDSM) akiwa na wasaidizi wake
Mmoja wa wabunge akichangia hoja. Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge
No comments:
Post a Comment