Thursday, August 20, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI USIKU WA LEO

SIMUTV: Wasanii kumi watinga hatua ya fainali ya mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza amabvyo itafanyika siku ya jumamosi jijini Dar es salaam na mshindi kuchukua milioni hamsini.

SIMUTV: Waogeleaji wawili kutoka Tanzania wakabidhiwa bendera ya taifa tayar kushiriki mashindano ya kuogelea ya dunia yatakayofanyika Singapore.http://youtu.be/HcrlrbhbOq0

SIMUTV: Klabu ya Azam FC yakanusha kumfukuza kazi aliyewahi kukaimu nafasi ya Kocha mkuu wa timu hiyo mganda George Best amabye hivi sasa amesharejea Uganda. http://youtu.be/yjE8GMnava8

SIMUTV: Bodi ya ligi ya Tanzania yapitisha ratiba ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kwa msimu wa mwaka 2015/2016 itakayoanza septemba 12 mwaka huu.http://youtu.be/C3kAYZNI1hU

SIMUTV: Kampuni ya uzalishaji wa rangi ya Insignia ya jijini Dar es salaam yasema itatoa mafunzo  ya matumizi ya rangi kwa mafundi rangi nchi nzima.http://youtu.be/vRsD77JL6rk

SIMUTV: Mhadhiri wa chuo kikuu cha Bagamoyo asema watu wanaomiliki nyumba zenye hati za kisheria wanauwezo wa kutumia hati hizo kupata mikopo benki.http://youtu.be/oIY_umWWltU

SIMUTV: Hisa stahili zaidi milioni 306 za benki ya CRDB zaanza kuuzwa kwenye soko la hisa la Dar es salaam baada ya kukamilika kwa uuzwaji wa hisa hizo kwa wana hisa wa CRDB. http://youtu.be/JavLWd5ygbg

SIMUTV: Wafanya biashara wa matunda na mboga wa soko la Temeke Stereo wawashauri wakulima wa matunda na mboga kutumia mbegu zinazokomaa haraka.http://youtu.be/5WtjgiJbmAY

SIMUTV: Baadhi ya wanawake katika halmashauri ya mji wa Kahama waiomba halmashauri hiyo kushirikiana na wadau wa mazingira kupanua wigo wa usambazaji wa huduma za kijamii. http://youtu.be/u68E4qzGP-w

SIMUTV: Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt.Jakaya kikwete awahakikishia wana CCM kuwa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM haukua na mizengwe yoyote.http://youtu.be/8gtvYQDd2XA

SIMUTV: Watu nane wafariki dunia na wengine wane kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Noah iliyokua ikitokea shinyanga kuelekea mwanza.http://youtu.be/twObA3ZxhmA

SIMUTV: Wagombea uraisi kupitia CHADEMA na CCM wasaini hati za viapo mbele ya jaji wa mahakama kuu katika utekelezaji wa sheria ya uchaguzi.http://youtu.be/7_Q_NiUaW9k

SIMUTV: Katika kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu,serikali mkoa wa Dar es salaam imeanzisha kampeni ya kumwaga dawa nyumba kwa nyumba ili kudhibiti ugonjwa huo. http://youtu.be/19bGggJpIfc

SIMUTV: Kampuni ya uchimbaji madini ya SHANTA mining yarejesha serikalini leseni ya uchimbaji wa eneo la km 70 mkoani Singida ili ziweze kugawiwa kwa wachimbaji wadogo. http://youtu.be/19bGggJpIfc

SIMUTV: Polisi Mkoani njombe yasema imejipanga vyema kuhakikisha usalama wa raia na mali zao katika kipindi cha kampeni za udiwani,ubunge na uraisi.http://youtu.be/zCFbFk7GVyQ

SIMUTV: Kundi la waangalizi wa uchaguzi toka ndani ya nchi lawatoa hofu watanzania 

No comments: