Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Asilimia kubwa ya wagonjwa wa kisukari wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Unajua ni kwa nini wanaume wenye kisukari wanasumbuliwa pia na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume ?
JIBU NI RAHISI SANA, NALO NI KWA SABABU KUNA UHUSIANO MKUBWA SANA KATI YA UGONJWA WA KISUKARI NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Kabla hatuja fahamu kuhusu uhusiano uliopo kati ya ugonjwa wa Kisukari na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume ni vyema tukafahamu kwanza kuhusu SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME.
Sayansi ya nguvu za kiume, itatuwezesha kufahamu kuhusu mechanism ya nguvu za kiume. Itatusaidia kujibu maswali muhimu kuhusu nguvu za kiume kama vile: KITU GANI KINAFANYA UUME USIMAME ? KITU GANI KINAFANYA UUME USISIMAME ? KITU GANI KINAFANYA UUME USIMAME KWA MUDA MREFU ? KITU GANI KINAFANYA UUME USISIMAME KWA MUDA MREFU ? KITU GANI KINAFANYA UUME USIMAME UKIWA IMARA KAMA MSUMARI ? KITU GANI KINAFANYA UUME USIMAME UKIWA LEGELEGE ? nakadhalika.
Kufahamu kuhusu SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME, tafadhali tembelea link hii hapa chini :
http://neemaherbalist. blogspot.com/2015/07/uhusiano- kati-ya-damu-na-tatizo-la.html
Baada ya kufahamu kuhusu SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME, sasa tunaweza kufahamu kuhusu UHUSIANO ULIOPO KATI YA UGONJWA WA KISUKARI NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Ukisoma vizuri kuhusu SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME utagundua kuwa SUALA LA NGUVU ZA KIUME NI SUALA LA KIMFUMO.
Mambo makuu muhimu katika MFUMO WA NGUVU ZA KIUME ni
- Ubongo imara na wenye afya njema
- Mishipa imara ya kusafirishia damu mwilini
- Mfumo imara na wenye afya wa usafirishaji damu mwilini.
- Mishipa na misuli ya uume iliyo imara na yenye afya njema
- Pamoja na uhusiano imara na wenye afya kati ya mishipa ya fahamu iliyo katika ubongo ( nerves),mishipa ya kwenye uti wa mgongo ( spinal cords ) pamoja na mishipa & misuli ya kwenye uume.
Ili mwanaume aweze kuwa na nguvu imara za kiume ni lazima mfumo wa mwili wake uwe na mambo yote matano yaliyo tajwa hapo juu .
Kukosekana ama kuwa na hitilafu katika lolote kati ya mojawapo kayi mambo yaliyo tajwa hapo juu kutamfanya mwanaume huyo apungukiwe na nguvu za kiume.
Hitilafu ama kukosekana kwa zaidi ya jambo moja kati ya mambo yaliyo tajwa hapo juu, kutamfanya mhusika awe katika risk ya kupungukiwa nguvu za kiume maradufu.
JINSI UGONJWA WA KISUKARI UNAVYO SABABISHA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Ugonjwa wa kisukari, pamoja na mambo mengine mengi, unafanya mambo yafuatayo katika mwili wa mwanadamu:
- Unashambulia na kudhoofisha mishipa ya ubongo.
- Unashambulia na kudhoofisha mishipa inayo safirisha damu mwilini ( Blood Vessels )
- Unashambulia na kudhoofisha mishipa na misuli mbalimbali iliyopo katika sehemu mbalimbali za mwili wa mwanadamu ikiwemo mishipa na misuli ya kwenye uume.
Mishipa ya ubongo ( nerves ), mishipa ya damu ( Blood Vessels ), pamoja na misuli & mishipa ya kwenye uume, ni vitu muhimu sana katika MFUMO WA NGUVU ZA KIUME.
Kudhoofishwa kwa vitu hivi muhimu, husababisha ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Hii ndio sababu kuu inayo wafanya wagonjwa wa kisukari kusumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
TIBA YA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME KWA MGONJWA WA KISUKARI.
Ili mgonjwa wa kisukari aweze kupata tiba ya ukosefu wa nguvu za kiume, ni lazima apate pia tiba itakayo saidia ku- control sukari kwenye damu yake.
Hivyo basi , tiba ya ukosefu wa nguvu za kiume kwa mgonjwa wa kisukari inatakiwa kwenda sanjari na tiba ya ku - control sukari kwenye damu ya mgonjwa.
Hii ina maana kuwa, ili tiba ya nguvu za kiume kwa mgonjwa wa kisukari iweze kufanya kazi barabara, ni lazima mgonjwa huyo, pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume , apate pia tiba ya sukari.
TIBA HII HAIPONYESHI TATIZO LA KISUKARI, ISIPOKUWA INASAIDIA KU –CONTROL SUKARI KATIKA DAMU YA MGONJWA NA HIVYO KUISAIDIA TIBA YA NGUVU ZA KIUME KUFANYA KAZI VIZURI.
Dawa Ya Nguvu Za Kiume Kwa Mgonjwa Wa Sukari : Dawa asilia ya JIKO ni dawa ambayo inasaidia kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume kwa watu wote, ikiwemo wagonjwa wa kisukari. ( WAGONJWA WA KISUKARI NI LAZIMA WATUMIE DAWA YA JIKO , PAMOJA NA DAWA YA KU-CONTROL SUKARI MWILINI )
Kufahamu zaidi kuhusu dawa ya JIKO na namna inavyo fanya kazi. Tafadhali tembelea :
http://neemaherbalist. blogspot.com/2015/07/uhusiano- kati-ya-damu-na-tatizo-la.html
TIBA YA KU-CONTROL SUKARI MWILINI
Zipo dawa mbalimbali za asili zinazoweza kutumika , kutibu tatizo la kisukari. Lakini miongoni mwa dawa hizo, dawa asilia zifuatazo zimethibitika kuwa na uwezo mkubwa sana wa ku-control kiwango cha sukari kwenye damu.
Kufahamu kuhusu dawa asilia zinazo saidia ku-control kiwango cha sukari mwilini, tafadhali tembelea :
http://neemaherbalist. blogspot.com/2015/07/jitibu- kisukari-presha-shinikizo-la. html
JINSI YA KUPATA TIBA YA NGUVU
ZA KIUME KWA WAGONJWA WA KISUKARI.
ZA KIUME KWA WAGONJWA WA KISUKARI.
Kama wewe una tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume unao tokana na ugonjwa wa kisukari, unatakiwa kutumia DAWA YA JIKO pamoja na TIBA YA ASILI INAYO SAIDIA KU-CONTROL KIASI CHA SUKARI MWILINI.
Kupata dawa hizo wasiliana na duka la NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC.
Tunapatikana jijini DAR ES SALAAM katika eneo la TABATA MAKOKA , karibu na Shule ya Sekondari ya Mt., Annuarite .
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Kwa wateja wasio weza kufika ofisini kwetu, tunawapelekea dawa mahali walipo
( DELIVERY )
Kwa wateja wa mikoani, tunawatumia dawa kwa usafiri wa mabasi. Kwa wateja waliopo Zanzibar tunawatumia dawa kwa usafiri wa boti na kwa wateja waliopo ughaibuni, tunawatumia dawa kwa njia ya DHL au POSTA.
www.neemaherbalist.blogspot. com
No comments:
Post a Comment