Monday, July 20, 2015

SIMU TV: HABARI MBALIMBALI KATIKA TELEVISHENI ZETU

SIMUtv: Hali duni ya maisha inayovizunguka vituo vya utalii wa utamaduni umepelekea kushuka kwa thamani ya mila na desturi  ya eneo husika. https://youtu.be/U35NFdF2TNs
SIMUtv: Baada ya Yanga Kufungwa na Gor Mahia ya Kenya katika mechi ya Ufunguzi mashabiki waendelea kuitabiria mema Katika michezo ijayo. https://youtu.be/-WfORdYdPP0
SIMUtv: Timu ya wanariadha 8  wa Tanzania inatarajia kuondoka kesho  kushiriki mashindano ya Dunia ya Olimpiki maalamu 2015 nchini Marekani. http://youtu.be/H4NHRYfcYBM
SIMUtv: Diamond Platinum amejinyakulia tuzo ya mtumbuizaji bora wa mwaka katika tuzo za MTV afrika zilizofanyika mjini Durban. https://youtu.be/rlmN6eGOPf0Mwanamziki
SIMUtv: Sintofahamu ya uchangiaji gharama za uendeshaji wa kura za maoni yaijitokeza kwa wagombea Ubunge katika jimbo la Bukoba Mjini; http://youtu.be/VU8mDy0UUWc
SIMUtv: Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda awaaga wananchi wa Katavi licha ya wananchi hao kumbembeleza kugombea Ubunge katika Jimbo hilo; http://youtu.be/un64kS7veGU
SIMUtv: Makada 43 wa Chama Cha Mapinduzi  wajitokeza kuchukua fomu ya Ubunge Mkoani Tanga; http://youtu.be/LCgU-DWLaiY
SIMUtv: Wanachama wa CCM Mkoani Kilimanjaro waaswa kuwa wastaarabu katika utoaji wa kura za maoni na kuepuka makundi ndani ya chama, http://youtu.be/aB9N7VOWhZs
SIMUtv: CCM yaendelea kumtambulisha mgombea wake wa urais Mhe Dkt Pombe Magufuli katika mikoa mbalimbali ya Tanzania; http://youtu.be/LYj-IKM5MOM
SIMUtv: Wakazi wa Mkoa wa Njombe waukataa mradi wa uchimbaji madini kwa madai ya mwekezaji kupewa idhini bila wananchi shirikishwa.http://youtu.be/zihd_vLCJlg
SIMUtv: Serikali yaahidi kutowavumilia watoa huduma  wanaonyanyasa wazee na makundi maalum katika vituo vya afya. http://youtu.be/QSn5PmCwjXY
SIMUtv: Mjumbe wa kamati kuu CCM Mh.Jerry Slaa awataka wanachama kufuata taratibu na kuheshimu maamuzi ya chama katika kusimamisha mgombea. http://youtu.be/7YnfNEgth_w

No comments: