Tuesday, July 14, 2015

SIMU TV: NEWS FROM TV STATIONS (AZAM ,TBC, CH10 AND STAR TV

SIMUTV:Tume ya taifa ya uchaguzi nchini yaongeza siku moja ya uandikishaji katika mkoa wa Pwani kufuatia uchelewaji wa Mashine za Uandikishaji. http://youtu.be/8YffHj8eU_Y
SIMUTV:Raisi Jakaya Kikwete afungua mkutano wa wakuu wa utumishi wa umma kwa nchi za Afrika na wananchama wa jumuiya ya Madola. http://youtu.be/VpIOQdhi-2g
SIMUTV:Askari wa hifadhi ya Taifa ya Gombe mkoani Kigoma limefanikiwa kumkamata mtu mmoja akiwa na meno 6 ya tembo na ngozi ya chui. http://youtu.be/zqGvPDSjIBA
SIMUTV:Zikiwa zimebaki siku chache kumaliza Mwezi Mtukufu, waislamu nchini waaswa kutoa ZAKATUL- FITRIhttp://youtu.be/KHj7Uof1rD8
SIMUTV:Raisi wa Zanzibar Dr.Shein awataka waangalizi wa uchaguzi watakao kwenda nchini humo kufuata sheria na si kufanya uchochezi utakao wagawa wananchi. http://youtu.be/lrKEqsOcvFA
SIMUTV:Baada ya mkutano wa CCM kumalizika mkoani Dodoma wananchi wa mkoa huo watoa maoni yaohttp://youtu.be/ftbUjLBcG0Y
SIMUTV:Tume ya Uchaguzi nchini NEC yatangaza majimbo mapya ya Uchaguzi 26 bara huku ikisisitiza imefanya kwa mujib wa katiba. http://youtu.be/tvWtT2j29d8
SIMUTV:Mbunge wa Mbeya ajinasibu chama chake kuibuka na ushindi katika viti vyote vya udiwani katika jiji la Mbeya ili kuongoza manispaa hiyo.http://youtu.be/vTwNo284RNc
SIMUTV:Wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani wanatarajiwa kunufaika na huduma za matibabu ya ugonjwa wa Saratani baada ya kampuni ya VIP Engineering kuanda maandalizi ya ujenzi wa kituo cha kimataifa cha kuhudumia wagonjwa wa saratani.http://youtu.be/gNSkZJPyogY
SIMUTV:Meneja wa mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini atoa rai kwa waislamu kote nchini na watu wengine wenye mapenzi mema kuwa karibu na watoto yatima ili kuwapa faraja. http://youtu.be/2EMHnz4xQvY
SIMUTV:Vijana Mkoani lindi watakiwa kujitambua na kujenga mshikamano kati yao na kuchagua viongozi bora kwa ajili ya maendeleo yao. http://youtu.be/bMr8I9OqovY
SIMUTV:Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wavamia kituo cha polisi na kuua askari 4 na raia 3 jijini Dar es salaam huku wakitoweka na silaha 20. http://youtu.be/UFN3sKxTFr4
SIMUTV:Mgogoro mkubwa wa mipaka waibuka mkoani Geita baina ya wawekezaji wawili wa uchimbaji madini huku idara ya madani ikilaumiwa kushindwa kutoa tatuzi. http://youtu.be/uuYW95dU-iU

No comments: