Futari ya Mama wa mitindo hapa Tanzania maarufu kwa jina la Asya Idarous Khamsin, akiwa na Designer anaye chipukia kwa kasi, Titty Morris ilifaana vya kutosha kiasi kwamba hadi watu wengine walikosa sehemu ya kukaa.
Hata hivyo Designers hao wametoa shukrani nyingi kwa wito mkubwa wa watu ambao walifanikiwa kufika katika hafla hiyo iliyobeba madhumuni ya kwenda kuwasaidia wakimama wagonjwa Hospitalini siku ya IDD.
Kama unavyoona kwenye picha hapo ni ndani ya Terrace Lounge, Msasani City Mall, ni jana Jumapili 12, July 2015 ilikuwa mida ya saa kumi na mbili kamili hadi saa mbili usiku kwa kadi ya shilingo 25,000/=.
No comments:
Post a Comment