WAZIRI
waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi
na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi
na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini
Arusha.
WAZIRI
waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,
akisalimiana mdau wa masuala ya uhifadhi
na utalii Willy Chambulo, alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji
wa mfumo wa usimamizi
na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA),
ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini
Arusha.
WAZIRI
waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,
akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi
na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji
wa mfumo wa usimamizi
na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA),
ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini
Arusha.
WAZIRI
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,
akifuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa wadau na
viongozi wa Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini
Arusha.
Waziri Nyalandu akizungumza na wadau wa Maliasili ya Utalii nje ya ukumbi
Wadau wakiwa kwenye Mkutano huo. Hotuba ya Waziri Nyalandu kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment