Unene na uzito uliozidi ( Obesity ) ni miongoni mwa vyanzo na visababishi vikuu vya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitabibu, asilimia kubwa ya wanaume wenye unene na uzito uliozidi, wanakabiliwa na tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
KWANINI WANAUME WENYE UNENE NA UZITO ULIOZIDI WANAKABILIWA NA HATARI KUBWA YA KUPATWA NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Wanaume wenye uzito na unene uliozidi wapo katika hatari kuu ya kupatwa na tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume kwa sababu kuna uhusiano mkubwa kati ya unene/uzito uliozidi pamoja na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Kama tulivyo elezea katika makala zetu za nyuma, SUALA LA NGUVU ZA KIUME NI SUALA LA KIMFUMO. Mfumo wa nguvu za kiume unahusisha ogani mbalimbali katika mwili wa mwanadamu.
Ili mwanaume aweze kuwa na nguvu imara za kiume, ni lazima ogani zote zinahusika katika mfumo, ziwe imara na zenye afya njema, na pia ni lazima ziwe na ushirikiano imara.
Kudhoofishwa kwa ogani moja wapo kati ya ogani hizo kutasababisha mhusika apatwe na tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume.
Kwa kukumbushia tu, mambo makuu muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume yapo matano ambayo ni
1. Ubongo imara na wenye afya njema
2. Mishipa imara ya kusafirishia damu mwilini
mfumo imara na wenye afya wa usafirishaji damu mwilini.
4.Mishipa na misuli ya uume iliyo imara na yenye afya njema
5.Pamoja na uhusiano imara na wenye afya kati ya mishipa ya fahamu iliyo katika ubongo ( nerves),mishipa ya kwenye uti wa mgongo ( spinal cords ) pamoja na mishipa & misuli ya kwenye uume.
Sasa basi, hitilafu yoyote katika mojawapo kati ya mambo matano tajwa hapo juu, itamfanya mhusika apatwe na tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume.
UNENE NA UZITO ULIOZIDI UNA SABABISHA VIPI TATIZO LA UKOSEFU NA/AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Kwa lugha nyepesi na yenye kueleweka kwa kila mtu, mtu mwenye unene na uzito uliopitliza, maana yake ni kwamba ana mafuta , sukari na kolestrol nyingi katika damu yake.
Kwa maana nyingine, ni kwamba kama wewe una unene uliopitiliza, maana yake ni kwamba, ogani zilizomo ndani ya mwili wako zinaogelea katika mafuta yaliyomo ndani ya mwili wako.
1. Kolestrol nyingi katika damu, huathiri mfumo usafirishaji damu katika mishipa ya inayo tumika kusafirisha damu katika sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo katika mishipa ya kwenye uume. Matokeo yake basi , kolestrol hiyo husababisha kuziba kwa ateri ambayo ndio njia itumikayo kupeleka damu katika mishipa na misuli ya kwenye uume, na kama damu haitaweza kusafirishwa hadi kwenye mishipa ya kwenye uume, maana yake ni kwamba, mwanaume huyo hatokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake kwa sababu, damu ndio inayo ufanya uume uweze kusimama.
2. Kama ilivyo kwa kolestrol, sukari na mafuta mengi katika damu huathiriki utiririkaji wa damu mwilini na hivyo kufanya vigumu damu kutiririka kuelekea kwenye mishipa na misuli ya uume ambayo ndio inahusika na kuufanya uume usimame.
3. Unene na uzito uliopitiliza una uhusiano mkubwa sana na ugonjwa wa kisukari. Na ugonjwa wa kisukari nao una uhusiano mkubwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, kwa sababu unaathiri mfumo mzima wa nguvu za kiume kama ifuatavyo : Kwanza;unashambulia na kudhoofisha mishipa ya ubongo na kuifanya ishindwe kuwa na uhusiano mzuri na mishipa ya kwenye uti wa mgongo, pamoja na mishipa na misuli ya kwenye uuume. Pili unashambulia na kudhoofisha mishipa ya usafirishaji damu mwilini na tatu unasababisha kudhoofika kwa ogani muhimu katika mwili wa mwanadamu kama vile figo.
Hivyo basi, mwanaume mwenye unene na uzito ulio zidi, yupo katika hatari kubwa sana ya kupatwa na tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, kuliko inavyo weza kufikiriwa.
4. Unene na uzito uliopitiliza una uhusiano mkubwa na tatizo la shinikizo la damu. Kwa lugha nyingine ni kwamba, watu wanene wapo katika hatari kubwa sana ya kupatwa na tatizo la shinikizo la damu,. na tatizo la shinikizo la damu nalo lina uhusiano mkubwa sana na tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Shinikizo la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo hutiririsha damu iingiayo kwenye uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa kiwango inachotakiwa kutanuka.
Pia huifanya mishipa laini katika uume kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya mwilini.
Matokeo yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha damu iingiayo kwenye uume na hivyo kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile vile hata kiasi kidogo cha damu kinacho ingia kwenye uume, kinashindwa kuendelea kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume ukiwa umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa ndani ya kipindi kifupi sana tangu usimame.
Kama hiyo haitoshi, tatizo la unene na uzito kupita kiasi lina weza kupelekea mhusika kupatwa na magonjwa ya presha na moyo ambayo nayo yanachangia tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa sana.
SULUHISHO LA TATIZO NI NINI?
Kama wewe ni mwanaume mwenye tatizo la unene na uzito ulio zidi, unapaswa kufanya mambo yafuatayo:
i. Kupunguza kolestrol mwilini: Unaweza kupunguza kolestrol na mafuta mengi mwilini kwa kufanya mazoezi na diet ama kwa kutumia dawa mbalimbali za asili ama vyote kwa pamoja.
ii. Unapaswa kupunguza unene na uzito : Unaweza kupunguza unene na uzito kwa kutumia mazoezi na diet ama kwa kutumia dawa asilia ya MKATAA KITAMBI ambayo inasaidia sana kupunguza mafuta mwilini, kupunguza unene na uzito.
TIBA ASILIA YA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME WENYE UNENE & UZITO ULIOZIDI.
Kwa mwanaume mwenye unene & uzito uliozidi ambaye pia ana sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, anashauriwa kutumia dawa zifuatazo kwa pamoja
1. Dawa ya kuondoa kolestrol na mafuta mengi kwenye damu.
2. Dawa ya kupunguza unene na uzito pamoja na
3. Dawa asilia ya nguvu za kiume iitwayo JIKO ambayo inatibu na kuponya kabisa tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume ndani ya siku thelathini tu.
Dawa ya JIKO inapatikana kwa gharama ya SHILINGI ELFU THEMANINI.
Dawa ya JIKO pamoja na dawa za kuondoa kolestrol & mafuta mwilini, kupunguza unene na uzito zinapatikana katika duka la kuuza dawa asilia la NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC lililopo jijini DAR ES SALAAM, katika eneo la TABATA MAKOKA karibu na Shule ya Sekondari ya Mt. ANNUARITE.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Kwa wateja waliopo jijini DAR ES SALAAM, ambao hawana nafasi ya kufika ofisini kwetu, watapelekewa dawa mahali walipo ( DELIVERY )
Kwa wateja wa ZANZIBAR watatumiwa dawa kwa njia ya boti.
Kwa wateja wa mikoani, watatumiwa dawa kwa njia ya MABASI na
Kwa wateja wa ughaibuni, watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
Kwa taarifa zaidi kuhusu tiba asilia ya magonjwa mbalimbali, tembelea kila siku :
No comments:
Post a Comment